Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 1,137
- 1,802
Kwakweli nimeshindwa kuelewa nini kimetokea Kati ya Tcra na wasafi crue/wasafi fm,maana redio nyingi hapo nyuma kidogo na karibuni zimekuwa zikipewa frequency za mwishoni kabisa katika jiji la dsm na pwani,kuna radio nyingine zimehangaika Sana kufika dar kutoka mikoani zinapata tabu Sana hadi leo,zingine zimepewa code za mwishoni kabisa,lakini wasafi wameingia tu wamepewa code nzuri ya mwanzoni 88.9 mhz dar.sasa apo ndio tunapata wasiwasi iweje wao wamepata io nzuri na wengine walibaniwa?je walishindwa bei ya code za mwanzo au hizo code zipo kulingana na category ya station au kuna nn behind the scene?,but hongera kwao WCB kwa kupata code hio nzuri.