Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

sawa sawa dokta.. much good huyu wakwangu naye yupo kwenye hiyo fani..

basi vizuri, nimepata mtu wakusaidiananaye kutibu wagonjwa walioko kwenye hiki kijiji cha cc.. Maana walinielemea kwelikweli..!
 
hahaha!! Alafu ujue leo una zamu ya kupika home.....i mithi yuu mke mwenza!

Leo sijisikii kupika, nitaenda kuwanunulia chips kavu sahanini mojamoja, si zitawatosha?
Kwanza nampango wa kumbwaga mume wetu lakini usimwambie, siunajua ana presha yule, asije akatufia...

Btw, nimekumithi pia mke mwenza
 
uwezo hana mkuu, Mrembo by Nature akichanjwa damu inayo toka inajiandika figganigga, sasa manoah kama sio kumuonea, unafikiri atatutenganishaje kwa akili ya kibinadamu?. mia

aisee hongera..mkuu yule mtoto ni hot sana..nilimwona kwenye mjadala wako wa kidiaspora anajenga hoja vizuri..big up sana kwa kumpiga bao manoah
 
Last edited by a moderator:
leo sijisikii kupika, nitaenda kuwanunulia chips kavu sahanini mojamoja, si zitawatosha?
Kwanza nampango wa kumbwaga mume wetu lakini usimwambie, siunajua ana presha yule, asije akatufia...

Btw, nimekumithi pia mke mwenza

lol! Kwani ulikua nae peke yake? Mwendhio nna vidumu hatari.!!
 
Hongera kijana kwa kupata tulizo la moyo
Atleast saiv ntakuita shemeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom