Kwako,
shansarie....
Kupitia Kwa,
Mwenyekiti rasmi wa jukwaa
Baba V..
K. K.
Mwenyekiti wakujitakia,
manoah..
K.K
Ofisi ya ukaguzi..
ya mzee Aspirin..
K.K
Wanasheria wote
wa Chit Chat..
K.K
Kwa ndugu zangu wote..
Mamndenyi,
Arushaone,
watu8 and u
MMAHE..
K.K
Ndugu
Erickb52 na Wakeze
Chocs &
Kipipi..
Napenda kuweka mambo hadharani sasa.. nimempata wakunitoa ugwadu,
naomba tutambulike sasa kuwa humu ndani mimi Kiwatengu na
shansarie ni wapenzi rasmi..
Nashukuru sana kwa kukubali kuwa nami.. I love u sana my
shansarie!!
Nipo kwenye process za kumwamishia huku niliko..
Hii ndiyo itakuwa couple bora for all times..
May God bless us..
copy kwa;
[MENTION=11167]B