Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Yaani wanawake wengine wanatia aibu wanalazimisha kupewa pesa na wanaume utasema waliwapa wawatunzie bladfakeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si wawe straight waseme nauza dau langu kiasi kadhaa wanaume wawaelewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka utoe uchi bure
 
Mkuu umekuja na ID mpya afu unasauti lain

Ningebahatika kukutoa bikra ningekurahi sana.
Mtoa baby wako uliyenaye Mali hii hauiwezu
Imechaha au?
 
Mnatudownload sana halafu migodi wanachimba wengine tumekalamuka, (janjaruka) hahaa, now download failed network error kumbe mb zimeisha, (no money)
 
Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema “waooooohhhh thank you beb”.

Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
Alafu huyu shost ako ako na ndevu bila shaka😅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…