Imekaaje hii?

Sasa hear it from me and this is me being HONESTY If kuna kitu ambacho I will never Do ni kurudi kwa my first man

I just regert na kuna mda nahisi nilipotea njia kabisaaaa......what the hell was I thinking back then....
Swali binafsi, je BF wako yupo JF maana majibu yako yanaonyesha kuwa aliyebahatika kwako si uliye naye sasa. Kwa mwanamke huwa anajitahidi asimlet down mwenzi wake. Hivyo kama unauliza swali kama hili hasa katika utafiti, utapata majibu ambayo siyo kama mwenzi wake yupo. Lakini humu JF kuna ke ambao aliyembikiri yupo naye na hajawahi kuigawa kwa mwingine. Ukitaka mifano nitakupa. Karibu Njinjo
 
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama si sawa ni kwa nini?
Nawasilisha.

Wakati nasoma siku moja mwalimu wetu alisemaga sometimes knowing the truth puts u in a vulnerable position..maana itabadilisha the state of things so if i were u i wouldnt even bother trying to know her history...
 
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama si sawa ni kwa nini?
Nawasilisha.
Hakuna haja ya kujua background ya hivyo maana hiyo inaweza kukuondolea imani kwa mpenzi wako hata kama unampenda,akikuambia ameshatembea na wanaume 7 utamuweka kwenye group la wasiotulia ukisikia bikra yake ilitolewa kwa kubakwa utajisikiaje? kama siyo mbaya kujua back ground ya mwenzio kwa baadhi ya mambo kama ya familia kujua familia yao ni ya aina gani,na malezi aliyolelewa hiyo itakusaidia kujiridhisha na tabia aliyonayo ukubwani maana wengine huwa wanakuwa na tabia za kuiga kulingna na mazingira aliyopo kumbe siyo tabia yake halisi,ukianza kufuatilia hayo mengine eti aliyekutoa bikra ni nani hapo utakuwa unataka mengne akikuambia yaani aliyenitoa bikira sitamsahau maishani mwangu hapo bado utakuwa na imani naye kweli?
 
Najaribu kufanya analysis ya comnt zenu ili nianze kumquestion my girlfrd.
Mpaka sasa waliosema ndio ni 55% kwa 45% nasubr coment kama kumi hvi ndo nichukue maamuzi.
Endeleeni kucoment.
 
Mpaka sasa waliosema NDIYO ni 55% kwa 45%.
Nasubiria kama coment kumi hv nichukue maamuzi.
Karibuni.
 
Kwangu mimi nadhani ni vyema kujua japo kwa uchache...

Tupo hivi tulivyo leo kwa sababu ya jana au juzi, kuna watu wana msingi ulio na mashaka unaowafanya leo hii wasiwe imara...

Kweli jirani na kwa kujuq historia yake japo kidogo unaweza jua uko na mtu wa aina gani..

Ukiangalia hata marehemu wanasema historia yake ..so ni muhimu kujua historia ya mtu japo kidogo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom