Imekaaje hii?

Inategemea na huyo unaemwelezea analipokea vipi..kuna wengine hujenga picha tofauti na ikasababisha kuvunjika kwa mahusiano,ila mwingine analipokea na kutumia kama sehemu ya kujenga mahusiano imara..
ni kweli,...Historia yaweza kujena msing bora wamapenz au kubomoa si ndio?
 
mhh..historia nyengine zataka moyo kuzisikia.itakuwaje akikwambia alikuwa na wapenzi zaid ya kumi na wote aliwapenda??maana huwezi kuwa na mpz usiye mpenda..
 
Mawazo ya kijinga haya yaliopitwa na wakati.

Hizi ni tamthilia za kusadikika, Mwanaume aliyevunja bikra ya mwanamke ni yule anayemeet requirements za mwanamke za kimwili na kidunia. Nyingine ni porojo tu
Nakubaliana nawe 100%..
 
kwa mtazamo wangu naona historia ambayo unapaswa kuijua ni elimu yake.asili yake.anachopenda na asichopenda.malengo yake ila upande wa mapenzi yataka moyo...
 
Kutaka kujua ya zamani ni kuruusu kudanganywa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
yes, ni muhimu kujua kwasababu unatakiwa ujue what are you into to.
 
Wanaume wengine ni washakunaku sana ukishamwambia basi haishi kukusema sema.....
sisemi mambo yangu hata iweje bora nimsimulie baba mkwe sio yeye!!!!!!!!!
 
Sioni umuhimu wa kujua kuhusu alienivunja bikra.........

I loved before.....I may Love again........ what matters ni

niko na wewe sasa......mengine ukiyajua utazidi kuumia sana

Mupe, mupatie na muongezee signature yako huyo........You may not be her LAST,her FIRST,or her ONLY,she loved before she may love again
IF she love you now what else matters!!!!!!!!!
 
Yapo ya muhimu napaswa kuelezwa(sio kuuliza) kama ana watoto,alioa akatengana na mkewe kwa sababu zozote zile,sio nilikuwa na Asha then Janeth kisha Rose! Sitampa nafasi hata ya kumalizia story yake maana hiyo ni past yake mradi haina impact kwa mahusiano yetu ya sasa wala hainishughulishi!
 
Ongezea na haya
1.wakati hamjaonana alikuwa na wanaume wangapi au wanawake wangapi?
2.je pindi yupo na wanaume au wanawake wale ni nani alikuwa anampenda sana na kwa nini alimpenda sana
kumhoji mpenzi wako kipindi cha aelezee ni kuleta pressure akikwambia fulani alikuwa na dudu kubwa nilikuwa nafurahia wakati wewe una dudu ndogo unakata tamaa au anakwambia hujui mapenzi fulani alikuwa anajua wewe umebakiza maigizo ya kulialia tu wakati wa majambozi na hujui mambo

hahha nimechekaje yapo ya kuulizana....lakin mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo........

unaweza kudhani yatajenga kumbe yatabomoa au kukunyongonyeza sana
 
Yapo ya muhimu napaswa kuelezwa(sio kuuliza) kama ana watoto,alioa akatengana na mkewe kwa sababu zozote zile,sio nilikuwa na Asha then Janeth kisha Rose! Sitampa nafasi hata ya kumalizia story yake maana hiyo ni past yake mradi haina impact kwa mahusiano yetu ya sasa wala hainishughulishi!

hahaha napatia pozi kaka angu ndio anaanza kukuelezea hako kahistoria....ka asha..Janeth Rose....

na sasa ni wewe kama nakuona utakavyomkaatisha LOL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom