Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

We Endelea tuu
44255006b22c55130686f669390ea264.jpg
siku hiz hawapigi unapakwa hyo kitu halafu unapakuliwa
Hizi ndo KY? Serikali ishazipiga marufuku hazipo tena madukani nasikia
 
Inaelekea huwa anamiss sana harufu ya kwapa lako....

AU itakuwa unajamba-jamba ovyo kila ukipiga bao, sasa anamiss maushuzi ya harufu tata kutoka kwa wa Dar, inabidi ayafuate (kwako) mkoani
 
Huna lolote kwanza wanaume wa mikoani hamjui kuoga pichu hamvai mkivaa unakaa nayo hata wiki nzima kama siyo mwezi bila kufua, hamjui kumuandaa mwanamke mnatumia minguvu hata shukrani hamna, wanaume wa dar akimaliza anasema asante honey
Love yuu[emoji8] [emoji8]
 
acha ujinga kula mzigo kimya kimya au unataka mpaka mumewe ajue tena
 
Mimi nadhan mwanamke mwenye kiu haangalii usafi wa chupi.
Kumuandaa?? Sasa ukimuandaa alaf ukapiga ka sekunde tano (jogoo like) kama mfanyavyo wanaume wa huko itakuwa na maana gani.
Asante?? Umepiga sekunde tano alaf unamwambia asante. So what?

Hujajua tu. Hujajua kwanin wanaume wa huko mnaitwa walaini kama Jojo.
Wanawake wanahitaji wanaume wagumu.
Ugumu wa kuninukia mijasho yako? Hamasa kwanza
 
Ugumu wa kuninukia mijasho yako? Hamasa kwanza
Kumbe we ni Ke.
Hongera wewe hujaonja mwanaume wa mkoani.
Mpo wachache na nyie ndo mnafaa kuolewa na wanaume wa Dar.

Tahadhari: Usije onja mwanaume wa mkoani.
 
Umeharibu hapo kwenye "Kuweni makini na wake zenu"....... Wakati mwingine kupambana na kufanya vitu ili mwanamke /mwanaume asicheat ni kuyageuza mapenzi utumwa.
 
Mke wa mtu sumu sasa kama una maziwa sawa!!!!!! Atakachokufanya mwenye mke.....!!!!! Mimi simo
 
Umeharibu hapo kwenye "Kuweni makini na wake zenu"....... Wakati mwingine kupambana na kufanya vitu ili mwanamke /mwanaume asicheat ni kuyageuza mapenzi utumwa.
Kweli. Ni Mungu tu husimamia hilo.
 
Mi ngoja nikuulize hapo mwisho umesema ukimuacha kumtimizia hitaji lake ataumia moyo" Je wewe alivyokuacha akaenda huko tena kuolewa uliumia au hukuumia? Pia je huko alikoenda aliona nini mpaka akuache? Sasa ni nini kimepungua mpaka arudi? Kwaiyo ukijiuliza haya maswali yote unaweza kuona kuwa ni Tamaa tu ndio zinawaponza watu matokeo yake ni kuambukizana magonjwa ya ajabu ajabu.
...Hapo kweli, alivyo kuacha wewe hukuumia?
 
Back
Top Bottom