Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Sasa mkuu tunaambiwa wanaume wa dar hatuwezi kuitumia papuchi ipasavyo sasa huyo jamaa anayeibiwa wife hata akimfumania mgoni wake ataweza kumla tigo kweli?Tena ya mwanaume mwenzake?
ha haha hii kesi sijibu
 
Mi ngoja nikuulize hapo mwisho umesema ukimuacha kumtimizia hitaji lake ataumia moyo" Je wewe alivyokuacha akaenda huko tena kuolewa uliumia au hukuumia? Pia je huko alikoenda aliona nini mpaka akuache? Sasa ni nini kimepungua mpaka arudi? Kwaiyo ukijiuliza haya maswali yote unaweza kuona kuwa ni Tamaa tu ndio zinawaponza watu matokeo yake ni kuambukizana magonjwa ya ajabu ajabu.
Kweli mkuu. Maswali ya msingi sana haya.
Nilipomaliza masomo nikawa sina ajira, nikawa simpi time sana nikajikita katika kutafuta ajira kwanza huku nikijua yeye yupo tu nitamkuta.
Kumbe yeye alikuwa na haraka ya kuolewa, akaona namchelewesha. Jamaa akaja akamchukua fasta fasta. Nikaamua kumkatia mawasiliano, nikashangaa baada ya miezi kadhaa ananipigia simu ananililia. Eti nakupenda kuliko mtu yeyote.

Hayo maswali yamenichallenge kweli kweli. Inabidi nichukue hatua.
 
Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki.
Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha.
Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.

Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi.
Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamis ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)

Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa napoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.

Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa??
Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si ntamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.

Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnao oa wanawake wa mikoani.

MUNGU WANGU! Hivi wanaume wa dar nani kawaroga?
kuna haja ya serikali kuanzisha "Wanaume wa Dar Rehabilitation Centre (WDRC)" Hawa watu watabaki na majina ya wake tu, ila wake zao halisi wameshazamia mikoani.
 
Hakika mkuu ila shida ni kupata ushahidi kwamba ametafunwa.
Teh, ni wewe nini mbona umeongea kwa upole hivyo! Ushahidi tena wakati jamaa anajisifia mkuu
 
Teh, ni wewe nini mbona umeongea kwa upole hivyo! Ushahidi tena wakati jamaa anajisifia mkuu
Hapana mkuu mie bado sijavuta jiko kwa kuhofia wake za kaka zetu wanavyotandikwa.
 
unaish kwenye utumwa usioujua kila siku utaamin you will move one kumbe unabakia kwenye hayo mahusiano ya mke wa mtu.... ukiamn anakupenda kwel
 
Ndugu Kumbaka zinaa ni deni--Ukizini na mke wa mwenzako, na wa kwako vile vile atapitiwa tu--kama si leo, ni kesho, kama hutaoa--andaa wewe mwenyewe 0713.
Kweli mkuu. Haya mambo ni changamoto
 
MUNGU WANGU! Hivi wanaume wa dar nani kawaroga?
kuna haja ya serikali kuanzisha "Wanaume wa Dar Rehabilitation Centre (WDRC)" Hawa watu watabaki na majina ya wake tu, ila wake zao halisi wameshazamia mikoani.
Kwakweli. Ila nadhani sio wote ni baadhi tu.
 
kama hiyo story ulioandika hapa ni ya kweli,jiandae kwa lolote kuanzia sasa hivi,mke anauma sana,ni bora umuache hata kama ataumia ni bora aumie lakini amekuacha wewe salama.Historia inaonyesha kuwa ni watu wachache sana walio wahi kutembea na wake za watu wakaachana nao salama bila wao kubainika na kufanyiwa mambo ya aibu.
 
Back
Top Bottom