Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Mbona nime gegeda demu wa mbeya bao 5 usiku mzima eti anataka kunipa Tigo nimbikiri
Hahahaaaaa, hilo nalo nenoAu ni wife nini?
Maana na yeye kaenda jana Dar unaweza kukuta jamaa wa kupiga vichabali kageuza maneno.
Dada samahani naomba hiyo profile pic yako
Chukua, angalia mkeo asilete shida lakiniDada samahani naomba hiyo profile pic yako
Mke kaenda dar jana
Teh, we ni changamotoMke kaenda dar jana
Ndo huyo bwn Yello Masai anatafuna saa hii
Blah blah blah lengo lako lilikuwa mwanaume wa mkoani vs wa dar.Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki.
Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha.
Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.
Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi.
Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamis ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)
Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa napoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.
Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa??
Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si ntamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.
Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnao oa wanawake wa mikoani.
Labda... inawezekana tunafanana na weweInaelekea huwa anamiss sana harufu ya kwapa lako....
AU itakuwa unajamba-jamba ovyo kila ukipiga bao, sasa anamiss maushuzi ya harufu tata kutoka kwa wa Dar, inabidi ayafuate (kwako) mkoani
Oa na wewe wako, ataacha ujingaNi msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki.
Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha.
Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.
Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi.
Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamis ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)
Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa napoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.
Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa??
Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si ntamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.
Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnao oa wanawake wa mikoani.
daaa! ngoja nitafute na mimi bikra sioi mpk nimpateNdo mana wanaume wengi wanataka kuoa mabikira ili wasisumbuke na hili tatizo. Kumnyima penzi mtu wako wa zamani inahitaji moyo na self control ya hali ya juu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaandika kama Donald Trump
Utatafuta saana!daaa! ngoja nitafute na mimi bikra sioi mpk nimpate
Niliumia kiasi tu. Baadae nikazoea. Mahaba niuwe huwa sina mimi...Hapo kweli, alivyo kuacha wewe hukuumia?
Shukuru Mungu bado uko vizuri. Dhahama inayowakuta wanaume wa dar bado haijakufikia.Mbona nime gegeda demu wa mbeya bao 5 usiku mzima eti anataka kunipa Tigo nimbikiri
.Utatafuta saana!
Yaani kuwapata kama bahati na sibu! Labda ukaoe kijijini tena katoto kabichi. Wa huku mjini hawajilengeshi hovyo, wanajua wanasakwa...
28Umri wako Plz?