Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

dhuuu nyie wana wake mna matatizo kweli em mungu hadi mi naogopa kuowa
 
haya bwana we tafuna mke wa mtu watakuloga kojoleo hilo
Mwanamke sasa ndo tatizo. Sijui kwanin aliamua kuolewa na mtu asiempenda.
Hata huo uchawi utafel maana mi sijawahi kumuomba kibumbu chake, yeye hujileta mwenyewe tu
 
Michepuko hii. Hivi hamjifunzi pamoja na kudhalilishwa sana kila siku.

MKE WA MTU NI SUMU.

Anza kutembea na KY JELLY NA WOSIA KABISA.
 
dhuuu nyie wana wake mna matatizo kweli em mungu hadi mi naogopa kuowa
Oa mkuu. Kama ni wa Dar usioe mkoani, labda awe bikra. maana mwanamke akishaonja mwanaume wa mkoani ni tabu tupu
 
Mi ngoja nikuulize hapo mwisho umesema ukimuacha kumtimizia hitaji lake ataumia moyo" Je wewe alivyokuacha akaenda huko tena kuolewa uliumia au hukuumia? Pia je huko alikoenda aliona nini mpaka akuache? Sasa ni nini kimepungua mpaka arudi? Kwaiyo ukijiuliza haya maswali yote unaweza kuona kuwa ni Tamaa tu ndio zinawaponza watu matokeo yake ni kuambukizana magonjwa ya ajabu ajabu.
 
Mwanamke sasa ndo tatizo. Sijui kwanin aliamua kuolewa na mtu asiempenda.
Hata huo uchawi utafel maana mi sijawahi kumuomba kibumbu chake, yeye hujileta mwenyewe tu
ha haha nongera aisee inaonekana unajua kuitafuna
 
Jamani mwanaume wa Dar ambaye mke wako kaenda jana mkoani, kama uko humu salam zikufikie mkeo anapigwa miti na jamaa
Hakika mkuu ila shida ni kupata ushahidi kwamba ametafunwa.
 
Back
Top Bottom