Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

We endelea tu... Wanaume wa ni wa Dar chumvini tu akiweka dushe tu dakika 0 wazungu hao
 
Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki.
Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha.
Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.

Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi.
Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamis ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)

Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa napoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.

Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa??
Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si ntamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.

Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnao oa wanawake wa mikoani.

Siku ukidakwa jiandae kuliwa ndogo maana utaliwa bila kilainishi kavu kavu
 
kama hiyo story ulioandika hapa ni ya kweli,jiandae kwa lolote kuanzia sasa hivi,mke anuma sana,ni bora umuache hata kama ataumia ni bora aumie lakini amekuacha wewe salama.Historia inaonyesha kuwa ni watu wachache sana walio wahi kutembea na wake za watu wakaachana nao salama bila wao kubainika na kufanyiwa mambo ya aibu.
Umenitisha sana mkuu. Japo mimi sina kosa. Nitaacha lakini.
 
Atakujaliaje mke mwema hali yakua we unamega mke wamtu?

Tena umeridhika mwenyewe
Mimi sijaridhika. Soma post yangu, nimesema nafsi inanisuta. Lakin huyu mwanamke ananing'ang'ania, anaonesha kuteseka sana bila mimi.
Basi na mimi huwa sio mchoyo, nina huruma sana. Naamua kumpa anachokitaka.
Ila nitajitahidi kuacha, ngoja leo nipige ya maagano.
 
We Endelea tuu
44255006b22c55130686f669390ea264.jpg
siku hiz hawapigi unapakwa hyo kitu halafu unapakuliwa
 
Mimi sijaridhika. Soma post yangu, nimesema nafsi inanisuta. Lakin huyu mwanamke ananing'ang'ania, anaonesha kuteseka sana bila mimi.
Basi na mimi huwa sio mchoyo, nina huruma sana. Naamua kumpa anachokitaka.
Ila nitajitahidi kuacha, ngoja leo nipige ya maagano.
Kama kweli nafsi inakusuta amua kuachana na mke wamtu...

Na sio unaachana nae huku unamchekea chekea...

Anacheza na saikolojia yako ndomana unasema anang'ang'ania. Ukimaanisha basi nae ataheshimu uamuzi wako
 
Huna lolote kwanza wanaume wa mikoani hamjui kuoga pichu hamvai mkivaa unakaa nayo hata wiki nzima kama siyo mwezi bila kufua, hamjui kumuandaa mwanamke mnatumia minguvu hata shukrani hamna, wanaume wa dar akimaliza anasema asante honey
 
Kweli ngoja ntamwambia sitaki tena dhambi nataka kuoa.
Huku nimekunja sura uso wa mbuzi [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hakuna kucheka.
 
inawezekana mumewe ana kabamia licha ya hivy hajui kukatumia kwa hiyo jitahidi na huo mguu wako wa mtoto umsugue vizuri sana
 
Huna lolote kwanza wanaume wa mikoani hamjui kuoga pichu hamvai mkivaa unakaa nayo hata wiki nzima kama siyo mwezi bila kufua, hamjui kumuandaa mwanamke mnatumia minguvu hata shukrani hamna, wanaume wa dar akimaliza anasema asante honey
Mimi nadhan mwanamke mwenye kiu haangalii usafi wa chupi.
Kumuandaa?? Sasa ukimuandaa alaf ukapiga ka sekunde tano (jogoo like) kama mfanyavyo wanaume wa huko itakuwa na maana gani.
Asante?? Umepiga sekunde tano alaf unamwambia asante. So what?

Hujajua tu. Hujajua kwanin wanaume wa huko mnaitwa walaini kama Jojo.
Wanawake wanahitaji wanaume wagumu.
 
Back
Top Bottom