WHAT GOZ AROUND COMES AROUND!Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha. Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.
Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi. Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamiss ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)
Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa ninapoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.
Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa? Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si nitamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.
Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnaooa wanawake wa mikoani.
Acha kabisa!! hatari sana.Unaandika kama Donald Trump
Usitubabaishe na kachabali wewe! Hata huku Dar es salaam tunaipiga sana tu, hiyo si ya waganda, sasa huku DSM tunapiga pia KUNYAZA ya Rwanda ukiachilia mbali Katerero ya BK!! Upo hapo. Sasa wewe jiandae kuliwa tiGo tu hamna namna!!!!!Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha. Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.
Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi. Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamiss ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)
Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa ninapoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.
Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa? Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si nitamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.
Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnaooa wanawake wa mikoani.
Huna lolote kwanza wanaume wa mikoani hamjui kuoga pichu hamvai mkivaa unakaa nayo hata wiki nzima kama siyo mwezi bila kufua, hamjui kumuandaa mwanamke mnatumia minguvu hata shukrani hamna, wanaume wa dar akimaliza anasema asante honey
Amani nitaitoa wapi wakati mke wangu ndo huyo umegeuza Ngoma yako jamaa?Hapana mkuu. Kuwa na amani
Naendelea kusubiri wanaume wa Dar waje we tulia tuu unyooshwe maana naona unatafta bifu jamaaNi msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha. Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.
Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi. Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamiss ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)
Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa ninapoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.
Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa? Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si nitamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.
Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnaooa wanawake wa mikoani.
We tulia tuu maana wanaume hao anaowaita wa Dar ni wazee wa kukodi kikosi kazi ili kuipopoa 0713......Mwosha huoshwa, subiri utaona, mambo kama hayo sio ya kujisifia watu huwa wanamega kisela, utakapoliwa 0717 usiache kuja kujisifia,
We are waiting.....
Ukweli kabisa mkuu. AsanteWanaume wa dar bana.. hua wana hisi akichua mwanamke mkoani ni kama kamtoa kijijini kwa washamba sa anamleta dar kwa wajanja.. wanaume ifike sehem tu heshimiane usije uka under estimate affection ya mwanaume mwenzako kwa mwanamke
Turudi kwa ww wa mkoani sasa.. atleast una chembe ya utu kwa kufikiri maumivu anayo pata mwanaume mwenzako. Naamini tamaa imekushinda maarifa ukizingatia namna unavyo dai kua mtoto ni mkali.. pambana achana nae, next time weka kikwazo hata kabla hajafunga safar kuja mkoani. Ni rahis kuzuia akiwa mbali kuliko akiwa karibu..
Kwa wanawake sasa.. hua mna tamaa sana ya mali kuliko mapenzi. Lkn napoona matukio kama haya napata kuamini kua we cant change the nature. Ona umefata mali au ushawishi wa mji umeenda umeona hamna kipya then umerudi kwenye asili pale pale kua unae mpenda ni mwana wa mkoani. Kabla hujaolewa jiulize kama kinacho kupeleka ni mali au lah, kama ni hivyo ipo siku utaona ni kitu cha kawaida na furaha ya ndoa itapotea kabisa.. Ndo maana wake za vigogo wana liwa tu.
Inawezekana mkuuwanaume wengi wa Dar wanakula chips na kuku pulling yao ni ndogo sana
Mkuu unanitia hamasa huku unanitishaMume wa Dar?we chapa kwa raha zako.Huwa hawajiwezi hao.Lakini pia Fanya mazoezi ya kushika ukuta,wanajua namna ya kulipiza kisasi.
Word!! [emoji106]Usisahau condoms asije akakuletea zawadi ya Dar maana mademu wa hvyo hupenda kavukavu wakijidai anataka akufeel
Hapana mkuu Think Again.Naona lengo lako lilikuwa ni kuandika kuhusu wanaume wa dar, sawa ujumbe umefika
Asante mkuu. Ushauri murua kabisaNakushauri achana na huyo mwanamke kabisa, mimi mbinu ninazotumia kuwakwepa wake za watu ni hizi, kwanza sitaki mazoea japo mahusiano ya kusalimiana kwa distance ni ruksa na sio kukumbatiana na mke wa mtu ambaye siyo dada/ndugu yangu, pili wananijua kuwa akijifanya bingwa wa kunitega nitampotezea hadi atajidharau na kukata tamaa, tatu sipendi kuwasiliana kwa simu na mke wa mtu bila sababu ya kibiashara, kikazi au jambo maalumu lisilohusiana na uzinzi. Nakushauri umkatae/umpotezee tu huyo mwanamke, utulie na familia yako/oa mke wako. Angalizo: HAKUNA TAJI YA UZINZI.