Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Ni mkoa gani upo machale yameshaanza kucheza moja haikai mbili hakai usiwe muoga kijana nipe ukweli
 
Vilainishi vimepanda bei sana maana havingii kihalali man, kwahiyo jifunze kubeba japo baby care itakusaidia siku ukifumuliwa marinda
 
Ila navoamin mwanamke yeyote akikazwa vzuri huwa hasahau,labda kama akiolewa na mwanaume mwingne anaejua kukaza kama wa mwanzo ndo anaweza kusahau
 
Ni mkoa gani upo machale yameshaanza kucheza moja haikai mbili hakai usiwe muoga kijana nipe ukweli
Hahaaah mkuu naangalia saa hapa nitoke ofisini nile vyake. Lakini moyo unasita, huenda nikaacha.
Kwani mke wako kasafiri? Usiwe na wasi wasi sio yeye
 
Wanaume wa dar bana.. hua wana hisi akichua mwanamke mkoani ni kama kamtoa kijijini kwa washamba sa anamleta dar kwa wajanja.. wanaume ifike sehem tu heshimiane usije uka under estimate affection ya mwanaume mwenzako kwa mwanamke

Turudi kwa ww wa mkoani sasa.. atleast una chembe ya utu kwa kufikiri maumivu anayo pata mwanaume mwenzako. Naamini tamaa imekushinda maarifa ukizingatia namna unavyo dai kua mtoto ni mkali.. pambana achana nae, next time weka kikwazo hata kabla hajafunga safar kuja mkoani. Ni rahis kuzuia akiwa mbali kuliko akiwa karibu..

Kwa wanawake sasa.. hua mna tamaa sana ya mali kuliko mapenzi. Lkn napoona matukio kama haya napata kuamini kua we cant change the nature. Ona umefata mali au ushawishi wa mji umeenda umeona hamna kipya then umerudi kwenye asili pale pale kua unae mpenda ni mwana wa mkoani. Kabla hujaolewa jiulize kama kinacho kupeleka ni mali au lah, kama ni hivyo ipo siku utaona ni kitu cha kawaida na furaha ya ndoa itapotea kabisa.. Ndo maana wake za vigogo wana liwa tu.
 
Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha. Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.

Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi. Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamiss ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)

Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.

Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa ninapoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.

Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa? Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si nitamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.

Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnaooa wanawake wa mikoani.
wanaume wengi wa Dar wanakula chips na kuku pulling yao ni ndogo sana
 
Mume wa Dar?we chapa kwa raha zako.Huwa hawajiwezi hao.Lakini pia Fanya mazoezi ya kushika ukuta,wanajua namna ya kulipiza kisasi.
 
Back
Top Bottom