Imekaaje Hii Wanaume wenzangu....!!!!

Na haswa ndo wenye shida huo mtazamo wa majukumu ya mtoto wa kiume akiwa na mwenzi wake,tabia hiyo ya kulegeza sauti,utamaduni gani huu???!!Utaratibu wa kulegeza sauti kwa mtoto wa kiume ni wa wapi??!!

Thanx for a lesson though

Nilikuwa naelezea tu tafauti kati ya jinsi na jinsia.

Kuhusu mada mezani, sina uelewa wowote wa mambo ya sauti!
 
hahahaha eti ana bhana pua.
so what? mwanaume? hahahaha
 
Haya yamekwisa!!!I think it was a misunderstanding!!!!!!

are U still in the middle of something!!!!ututafsirie mi na mimi49

googling is different sometimes u can miss some explanation/points!!!!!!
Yahabibti usijali watu8 nimekuja haya nime maelezo ya kifisikia!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naelezea tu tafauti kati ya jinsi na jinsia.

Kuhusu mada mezani, sina uelewa wowote wa mambo ya sauti!

kaka nimeshukuru pale mwisho as najua kuwa tunajifunza mpaka umauti utukute,thanx again

Na hiyo tafauti hapo pia ni somo au ulikusudia tofauti?????!!!
 
Tusipogombana hatupendani si ndio watu8 :A S-heart-2:

Heeeeee heeeee yamekwisha kimtindo huo!!!!!!
My dada Heaven on earth twende zetu bhana hawa watatutia lawama bureeeeeeee kimbia fasta tutoweke kitaa hiki
 
Na hiyo tafauti hapo pia ni somo au ulikusudia tofauti?????!!!

Ni somo pia. Tafauti ni neno halali na halisi la kiswahili.

Tena waswahili usema hiyo tafauti wakimaanisha different kwa kiingereza; na tofauti wakimaanisha difference kwa kiingereza.
 
Heeeeee heeeee yamekwisha kimtindo huo!!!!!!
My dada Heaven on earth twende zetu bhana hawa watatutia lawama bureeeeeeee kimbia fasta tutoweke kitaa hiki

we wapendanao wakigombana shika jembe ukalime wakipatana chukua Kapu ukavune

my kaka ngoja tusepe zetu
 
Mmwee!
Sauti (+ swaga) inamata sana kumfanya mupenzi akubali nini unamwambia mkiwa kwa sim!!!
Sio sauti ya kubana pua!!!
Hapa ni Sweet bass!!! Kunawengine wamezaliwa na sauti hiyo!!! Haihitaji tune sauti hii!
...
Kwa wale walio na bass+ ndio wanahitajika kupunguza kidogo, coz kuna me wananguruma sio mchezo!!!! Kama kunaugonvi vile!!!! Lakini sio kutoa sauti kama ya dem!!
...
Kuna me wengine nature kabisa wanavisauti vya kike!!! Sasa usiombe umkute anaongea na dem kwa simu!!!!!
...
Apa Kibezi kwa kwenda mbele!!!

 
Kwi kwi kwi kwi...Kuongea kimahaba siyo!!!! Haya banaaaa 🙂🙂....:behindsofa:

Ndo kuongea kimahaba huko,Unajua kuna sauti ya kubembelezea ha ha ha!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…