Imekaaje Hii Wanaume wenzangu....!!!!

Lakini si ukibembeleza sauti inabadilika bana inakuwa ya kimahaba zaidi ndo kama kubana pua nionavyo mimi!!!

hapana mimi kuna mtu anaweza kukubembeleza kwa kutumia sauti yake na ikawa poa

sio kubana pua hata the tone ya voice inabadilika completely
 
Jando linahitajika huko mitaa ya kwenu

Ktk lugha kuna kitu wanaita utumizi wa lugha, hii huzaingatia mahali lugha inapotumika, uhusiano wa watu wanaoongea, mada inayozungumzwa na aina ya mawasilino inayotumika. hapo suala la sauti (tone) hujitokeza.

kuna sauti ya kuongea na boss wako ambayo ni tofauti na kuongea na mfuasi wako au mtu baki, au wakwe, au wazazi n.k tena wote hao pia hutegemea na mazingira na mada husika.

hata walokole wana tone ya kuongea na Mungu na tone ya kumkemea shetani.
 

................ni shoga.
 
true that...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…