Imekaa Vibaya

Huu jamaa sijui alipotelea wapi!Miaka ya 2000 ilikuwa na bongo fleva njema kweli!Nikikumbuka Daz Nunda,"Maji ya Shingo"Kamanda"Barua"Nipe Tano"Jahazi"Hawa jamaa sijui wamepotelea wapi kama ilivyokuwa TMK nao wamepotea kabisa!
 
Ile orodha vipi ya 'njagu'...! Iloyokanushwa....! kuna kitu kinaitwa DAY WAKA...!, WAGUZI, WALIMU,...(TWO PROUD, WAGOSi wa Kaya na wengineo....)
 
Yan kitasa kimoja nkashangaa nyama yote IPO sakafuni naona Giza aisee Kali popote aliimba
 
Huu jamaa sijui alipotelea wapi!Miaka ya 2000 ilikuwa na bongo fleva njema kweli!Nikikumbuka Daz Nunda,"Maji ya Shingo"Kamanda"Barua"Nipe Tano"Jahazi"Hawa jamaa sijui wamepotelea wapi kama ilivyokuwa TMK nao wamepotea kabisa!
Amekuwa Ustadh siku hizi hata mziki hataki kuusikia
 
Nakumbuka nilikuwa chumba cha mtihani, nafanya final exam ila paper ilikuja ngumu kila swali silielewi mara ghafla nasikia mziki nje unaimba," imekaa vibaya hii bado haijatulia imekaa vibaya". Nilijikuta nasema kwa sauti, sijui nirudi kijijini. Hahahaa msimamizi alinitolea macho, darasa zima wapo hoi wanacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment inachekesha ila nashindwa kucheka kisa we ni kada.
 
Back
Top Bottom