Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

nina ndugu yangu anauliza kuhusu ubora wa sauti wakuu!! vipi kuhusu habari kuwa mapadri ndo wanafundisha?
Wapo wanaofundisha wenye sifa za kufundisha wakufunzi wengi wa pale na watu wa kawaida tu ila katika utawala wengi ni Mapadri kwa sababu ni Chuo chao
 
Wapo wanaofundisha wenye sifa za kufundisha wakufunzi wengi wa pale na watu wa kawaida tu ila katika utawala wengi ni Mapadri kwa sababu ni Chuo chao
Duuuhh!!! sasa mbona kila mtu anasema yake!!! Kati ya UDOM na sauti wapi bora mkuu!!???
 
Duuuhh!!! sasa mbona kila mtu anasema yake!!! Kati ya UDOM na sauti wapi bora mkuu!!???
Kila mtu anaongea lake kivipi? Mkuu siwezi kusema moja kwa moja kipi chuo kizuri ila kwa mimi navyojua SAUT mnapiga msuri kama ule wa seminari yaani hakuna lelemama mkuu navyosema hakuna lelemama namaanisha
 
Sawa mkuu nimekuelewa!
 
Hayo malalamiko hayana ukweli. Mfano huohuo wa sheria unaoutoa, mbona wakienda Law school wanafaulu tena almost wote? Fanya utafiti kidogo then uje humu utueleze
Tumia utafiti kujibu hoja za huyu bwana, kuongelea kijipendele kimoja tena kwa ujumla ni hatari sana. Kaweka hoja zaidi ya 3 na zote zinavihusu hivyo vyuo, wewe kuzicrash hoja zake kwa kipengele kimoja ni kukurupuka
 
Yaani niache shughuli zangu ntafute data za kujibu hilo swala?. Mi nimetumia data kidogo nilizo nazo kumjibu, nivizuri kuheshimiana si kutumia lugha kali wala lugha ya kuudhi.
 
Ungekihusisha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) ningekushangaa na kukuona wa ajabu bila kusahau ' Popoma ' kabisa. Nakupongeza sana kwamba katika Vyuo vyako Vikuu vya ' hovyo hovyo ' unavyoviongelea hapa SAUT hakipo na sidhani kama kuna siku yoyote ile kitakuwepo kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu pekee kwa sasa nchini Tanzania na hata Afrika ya Mashariki kinachotoa Watu makini, mahiri na werevu sana. Huwezi ukafundishwa na Mkatoliki halafu ukawa ' Popoma ' na ukiona umeiweza na kuimudu Elimu ngumu lakini yenye malengo ya Mkatoliki jua Wewe IQ yako ' imetukuka ' kabisa.

Hongereni sana Chuo Kikuu cha SAUT, Wahadhiri wangu mlionifundisha Kipindi nikiwa hapo na Wanafunzi wote mliopita na wale ambao mnasoma hapo sasa tafadhalini msituangushe kwani wengine tunatambulika, tunakubalika na tunaogopwa Kifikra / Kiupeo kwakuwa tu ni ' zao ' tukuka la SAUT ile ya Fr. Dkt. Charles Kitima na naamini hata ' Genius ' Dkt. Mukama aliyepo sasa kama VC atazidi kuifanya SAUT izidi kuwa juu.

Popote pale nitakapokuwepo nitakuwa ' proud of ' SAUT. Vyuo vingine vilivyobaki ambavyo naviheshimu mno kama siyo sana ni UDSM na MZUMBE pekee na vilivyobaki mtanisamehe bado mna safari ndefu ya Kufanya hasa Kitaaluma ili nanyi tuweze Kuwakubali, Kuwasifu na tusiwe na wasiwasi nanyi.
Kumbe umesoma Saut?
Ndo mana upo low sana
 
Back
Top Bottom