Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

W
Ungekihusisha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) ningekushangaa na kukuona wa ajabu bila kusahau ' Popoma ' kabisa. Nakupongeza sana kwamba katika Vyuo vyako Vikuu vya ' hovyo hovyo ' unavyoviongelea hapa SAUT hakipo na sidhani kama kuna siku yoyote ile kitakuwepo kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu pekee kwa sasa nchini Tanzania na hata Afrika ya Mashariki kinachotoa Watu makini, mahiri na werevu sana. Huwezi ukafundishwa na Mkatoliki halafu ukawa ' Popoma ' na ukiona umeiweza na kuimudu Elimu ngumu lakini yenye malengo ya Mkatoliki jua Wewe IQ yako ' imetukuka ' kabisa.

Hongereni sana Chuo Kikuu cha SAUT, Wahadhiri wangu mlionifundisha Kipindi nikiwa hapo na Wanafunzi wote mliopita na wale ambao mnasoma hapo sasa tafadhalini msituangushe kwani wengine tunatambulika, tunakubalika na tunaogopwa Kifikra / Kiupeo kwakuwa tu ni ' zao ' tukuka la SAUT ile ya Fr. Dkt. Charles Kitima na naamini hata ' Genius ' Dkt. Mukama aliyepo sasa kama VC atazidi kuifanya SAUT izidi kuwa juu.

Popote pale nitakapokuwepo nitakuwa ' proud of ' SAUT. Vyuo vingine vilivyobaki ambavyo naviheshimu mno kama siyo sana ni UDSM na MZUMBE pekee na vilivyobaki mtanisamehe bado mna safari ndefu ya Kufanya hasa Kitaaluma ili nanyi tuweze Kuwakubali, Kuwasifu na tusiwe na wasiwasi nanyi.
Wewe unakila sifa ya deo kisandu mnafanana sana hulka
 
Hivi palipo saut unaweza iweka makumira! mbona watu watakushanga, makumira nacho ni chuo kikuu!?
Hata mi nimemshangaa sana huyu mdau Makumira ukiwa tu mtoto wa mchungaji unapewa admission haijalishi ulifeli au kufaulu.......niliwahi ongea na jamaa yangu alisoma Makumira kuhusu coursework za Saut akasema mlikuwa mnateswa wao huko ilikua mteremko tu......sema kitu kimoja kila mtu huona chuo alichosoma ni bora kuliko cha mwingine binafsi kitabu na mikikiki ya SAUT ditokuja kusoma tena hapo walinitesa sana aisee
 
hahaaaa wazee wa ku didact nawaona mkipigana majungu wenyewe kwa wenyewe, hv unatarajia mtoa mada angekihusisha chuo chake? Au wachangiaji waliosoma chuo kilichosifiwa(excluded) wapinge? Au waliosoma vyuo vngne vya private wakubaliane nae? Kwa mwenye akili, reaction unayoiona ndo uliyoitarajia. Mlianza gvt vs privates, arts vs science, course vs course asahiv mmehamia privates vs privates mkitoka hapo mtahamia christian vs islamic, halaf ndan yenu wenyewe dhehebu hili dhid ya lile, hamtaishia hapo mtaenda mpk vyuo vya mkoa ule dhid ya mkoa huu akili hio hio itawapeleka mpk kwenye matawi ya vyuo vyenu wenyewe(Main vs Minor compas). ACHENI BATTLE ZA INPUT VYUONI mana mtatudangaya TUNATAKA ZA OUPUT MTAANI NA MAKAZINI, huku tunaangalia END PRODUCT sio RAW MATERIALS, usiniambie oooh sijui input/raw materials ndo ina mata mana najua hapo tutarud tena kule kule kila mtu atajisifu yeye na kumponda Mwingne. Halaf kumbuka kama sio Accidentaly bas kichwa chako ndo kime/likupeleka huko ulipo/kua, kwaio funga bakuli lako na fungua ubongo wako.
 
Duh, Tanzania vituko havitaisha, kuna vijana wameshahitimu vyuo wanamasters na digrii, la kustaajabisha ni mabingwa wa kusifia vyuo walivyotoka ila sidhani km wanamchango wa maana kwenye jamii ili kuzidi kuving'arisha vyuo walivyosomea. Mleta mada binafsi nadhani uko sahihi kabisa ila kuna wachangiaji wengine hawajaelewa hata lengo la mada wao wamekimbilia kufanya ulinganifu wa vyuo, hapo ndo mjue ubora wa chuo si ubora wa mtu, ni rahisi mtu kuonesha ujima wake huku akisifia chuo alichotokea.
 
Niko hapa chuo Kikuu Makumira mbona TCU wametoka kukagua juzi na hawajaona unachoandika!??????
TCU wametimiza wajibu wao, kuna kozi zimefungiwa udahili. Shida yetu watanzania hatuna muda wa kutafuta ukweli ku-prove issues. Masuala niliyoyasema kwa wale wasioelewaga ni manne moja mhadhiri kufundisha masomo sita na mengi hajayasomea, pili wahadhiri kulipwa mishahara ya 1M, tatu mishahara kulipwa mara 2 kwa mwezi kwa malengo mawili kukwepa kodi ya serikali, mwisho kukwepa michango ya pensheni kwa maana ya ukokotaji kufanyika in a wrong base. mwenye kutaka kutafuta ukweli akautafute siyo porojo. we lihove 2 mi sijasomea unakosema. hata hivyo mm sikuandika kitabu au journal ni ujumbe mfupi ambao unaeleweka. labda utumbie ww umesomea wapi na utuandikie tuone ufundi wako. nimetoa ujumbe kwa watanzania kuh vyuo vikuu vinavyoharibu elimu yetu. Data nitazileta hivi punde msiogope!
 
Uandishi wako hovyo sana Mkuu, kama vile haujui matumizi ya aya.

Mpaka Jiwe atoke madarakani vyuo vingi vya private vitakuwa vimefungwa teari. Hayo ni maono yangu

Vyuo vya private vina hali ngumu sana sana, afadhal Saut kidogo kushinda vyuo vingine vya private.
Huyi atakua ni mwanasheria ameandika kwa mfumo wa legalese ndo maana hauoni punctuation marks or whatever
 
Ungekihusisha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) ningekushangaa na kukuona wa ajabu bila kusahau ' Popoma ' kabisa. Nakupongeza sana kwamba katika Vyuo vyako Vikuu vya ' hovyo hovyo ' unavyoviongelea hapa SAUT hakipo na sidhani kama kuna siku yoyote ile kitakuwepo kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu pekee kwa sasa nchini Tanzania na hata Afrika ya Mashariki kinachotoa Watu makini, mahiri na werevu sana. Huwezi ukafundishwa na Mkatoliki halafu ukawa ' Popoma ' na ukiona umeiweza na kuimudu Elimu ngumu lakini yenye malengo ya Mkatoliki jua Wewe IQ yako ' imetukuka ' kabisa.

Hongereni sana Chuo Kikuu cha SAUT, Wahadhiri wangu mlionifundisha Kipindi nikiwa hapo na Wanafunzi wote mliopita na wale ambao mnasoma hapo sasa tafadhalini msituangushe kwani wengine tunatambulika, tunakubalika na tunaogopwa Kifikra / Kiupeo kwakuwa tu ni ' zao ' tukuka la SAUT ile ya Fr. Dkt. Charles Kitima na naamini hata ' Genius ' Dkt. Mukama aliyepo sasa kama VC atazidi kuifanya SAUT izidi kuwa juu.

Popote pale nitakapokuwepo nitakuwa ' proud of ' SAUT. Vyuo vingine vilivyobaki ambavyo naviheshimu mno kama siyo sana ni UDSM na MZUMBE pekee na vilivyobaki mtanisamehe bado mna safari ndefu ya Kufanya hasa Kitaaluma ili nanyi tuweze Kuwakubali, Kuwasifu na tusiwe na wasiwasi nanyi.
Building the city of God
 
Vyuo vikuuu vya private kasoro Saint Augustin vinatakiwa vifungwe havina sifa ni uhuni, chuo Lecturer anafundisha masomo mpaka Sita tena siyo profession yake anajisomea. Pili, unakuta chuo hakipeleki makato ya pensheni au km kinapeleka kinagawa mshahara mara 2 makato yanafanyika ktk nusu ya mshahara hatimaye unakuta mshahara au pensheni ya anayeitwa mhadhiri wa chuo kikuu ni madogo kuliko mwl wa shule ya msingi. Tatu kodi za serikali hazilipwi kwasababu kinachokatwa kodi ni nusu ya mshahara ambao kwanza ni mdogo sana! ni vyuo vinavyonyanyasa sana watanzania kisa ukosefu wa kazi. Imagine ndugu mtanzania Asisstant Lecturer analipwa mshahra wa Millioni moja tu na anatakiwa atulie km ataleta za kuleta asubiri kufukuzwa bila taarifa unakuta tu hauna mshahara. Unatakiwa ufunishe masomo sita kwa semester ukikataa tegemea kiama chako, vina kiburi hawajui serikali. ajira zenyewe za kikabila, kirafiki, kikanda, chukua mfano wa Chuo Kikuuu Makumira Serikali ikafanye uchunguzi ni uchafu umejaa pale. Unakuta idara au hata faculty ina Mhadhiri moja na kwa mshahara wa Tshs 1M anatakiwa afundishe masomo sita ambayo hajayasomea. Kwanza Lecturer anatakiwa awe na eneo lake la ubobevu (profession), hata sheria huwezi kufundisha masomo yote km ni administrative law au contract law au criminal ndio eneo lako. Nenda hivyo vyuo ujionee halafu hawajui cha serikali, TCU, wala wizara. Waziri mama Ndalihako wasaidie watanzania wenzako tunakuamini!
Yaliyoandikwa na Saigilo nayaunga mkono, kuna bursar pale mwenye elimu ya kuungaunga anajifanya DVC-Incharge anawanyanyasa sana wahadhiri, ana uwezo wa kumwajiri amtakaye bila interview wako hawara zake pale amewaajiri bila interview ana miliki account zenye mamilioni ya dola zote ni sadaka za waumini wa kanisa la kiinjili la kilutheri na kumfukuza asiyemtaka maana amemshika yule VC masai. anatongoza wahadhiri wake za watu ndio anayemshauri VC kuwadhulumu wahadhiri na kuiibia serikali. Muda utafika wa kuwataja wahusika walioajiriwa bila interview na waliofukuzwa kinyama mm nilijiondokea mwenyewe! Ukweli hali ni mbaya pale kuliko mnavyoweza kufikiri! Kuna mnyakyusa alipata ufadhili kwenda kusomea PhD aliambiwa achague kati ya kazi na kwenda kusoma, km mnavyojua ni vigumu kuwatajieni jina hadharani.Anayewa kuruhusiwa kwenda kusoma labda ae masai, mmeru au mchaga na lazima awe na uhusiano na wale wakubwa.
 
Hata mi nimemshangaa sana huyu mdau Makumira ukiwa tu mtoto wa mchungaji unapewa admission haijalishi ulifeli au kufaulu.......niliwahi ongea na jamaa yangu alisoma Makumira kuhusu coursework za Saut akasema mlikuwa mnateswa wao huko ilikua mteremko tu......sema kitu kimoja kila mtu huona chuo alichosoma ni bora kuliko cha mwingine binafsi kitabu na mikikiki ya SAUT ditokuja kusoma tena hapo walinitesa sana aisee
Ile nibalaa hasa enzi za kitime
 
Makumira, sifa kuu za ziada ili kuhimili ushindani pele uwe Mmeru ama Mmasai.
 
Ungekihusisha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) ningekushangaa na kukuona wa ajabu bila kusahau ' Popoma ' kabisa. Nakupongeza sana kwamba katika Vyuo vyako Vikuu vya ' hovyo hovyo ' unavyoviongelea hapa SAUT hakipo na sidhani kama kuna siku yoyote ile kitakuwepo kwakuwa ndiyo Chuo Kikuu pekee kwa sasa nchini Tanzania na hata Afrika ya Mashariki kinachotoa Watu makini, mahiri na werevu sana. Huwezi ukafundishwa na Mkatoliki halafu ukawa ' Popoma ' na ukiona umeiweza na kuimudu Elimu ngumu lakini yenye malengo ya Mkatoliki jua Wewe IQ yako ' imetukuka ' kabisa.

Hongereni sana Chuo Kikuu cha SAUT, Wahadhiri wangu mlionifundisha Kipindi nikiwa hapo na Wanafunzi wote mliopita na wale ambao mnasoma hapo sasa tafadhalini msituangushe kwani wengine tunatambulika, tunakubalika na tunaogopwa Kifikra / Kiupeo kwakuwa tu ni ' zao ' tukuka la SAUT ile ya Fr. Dkt. Charles Kitima na naamini hata ' Genius ' Dkt. Mukama aliyepo sasa kama VC atazidi kuifanya SAUT izidi kuwa juu.

Popote pale nitakapokuwepo nitakuwa ' proud of ' SAUT. Vyuo vingine vilivyobaki ambavyo naviheshimu mno kama siyo sana ni UDSM na MZUMBE pekee na vilivyobaki mtanisamehe bado mna safari ndefu ya Kufanya hasa Kitaaluma ili nanyi tuweze Kuwakubali, Kuwasifu na tusiwe na wasiwasi nanyi.
Je waliosoma cbe,,Sua,IFM hao vp mkuu
 
W

Wewe unakila sifa ya deo kisandu mnafanana sana hulka

Kisa tu nimekisifia Chuo Kikuu changu cha SAUT au kuna mengine? Basi nitajie Chuo Kikuu chako ili ' nikifagilie ' hapa uweze kuridhika tafadhali. Mswahili Mswahili tu hakyanani!
 
Back
Top Bottom