Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

Imefikia vyuo vikuu vingi kasoro vichache sana vifungwe

Je waliosoma cbe,,Sua,IFM hao vp mkuu

Bado wana safari ndefu ' Kitaaluma ' hasa. Tanzania Vyuo Vikuu bora na sahihi kwa Mtu makini kwenda Kusoma na hatimaye kuja kuwa ' mahiri ' ni Vitatu ( 3 ) tu navyo ni
  1. UDSM
  2. MZUMBE
  3. SAUT
Nimemaliza.
 
Kisa tu nimekisifia Chuo Kikuu changu cha SAUT au kuna mengine? Basi nitajie Chuo Kikuu chako ili ' nikifagilie ' hapa uweze kuridhika tafadhali. Mswahili Mswahili tu hakyanani!
Gentamycine una fanana na mwalimu deo kisandu kwa mambo mengi hata post zako huwa zinashangaza sana watu kifupi wewe ni aina ya kibwetere hata uraia wako watu wanauhoji sana humu juzi kuna mmoja alikuanzishia Uzi wa lugha ya kitusi Mara ujidai uko tiss kifupi una haiba tata sana
 
Udom pakoje mkuu?

Si Chuo Kikuu kibaya ila wanatakiwa ' Kujipanga ' vyema katika maeneo fulani fulani ambapo kama wakiyakamilisha hayo basi nina uhakika na chenyewe ( UDOM ) kitakuwa ni miongoni mwa Vyuo Vikuu bora na vizuri nchini kama ambavyo vipo UDSM, MZUMBE na SAUT.
 
Msemaji amesema Ukweli kabisa, TCU wamelala...vyuo vingi ni wababaishaji tu, TCU wanafanya kuwanyima admission tu, sasa kama hakifai kwanini wasiwahamishe na waliopo na wakifunge?
 
Si Chuo Kikuu kibaya ila wanatakiwa ' Kujipanga ' vyema katika maeneo fulani fulani ambapo kama wakiyakamilisha hayo basi nina uhakika na chenyewe ( UDOM ) kitakuwa ni miongoni mwa Vyuo Vikuu bora na vizuri nchini kama ambavyo vipo UDSM, MZUMBE na SAUT.
nasikia sauti wanafundisha mapadri mkuu, ni kweli?
 
Bado wana safari ndefu ' Kitaaluma ' hasa. Tanzania Vyuo Vikuu bora na sahihi kwa Mtu makini kwenda Kusoma na hatimaye kuja kuwa ' mahiri ' ni Vitatu ( 3 ) tu navyo ni
  1. UDSM
  2. MZUMBE
  3. SAUT
Nimemaliza.
Mkuu samahani unatumia criteria gani ku determine vyuo vizuri?
1.Number of graduates
2.Quality of the products
3.Education facilities and social emenities
4.Tuition fee and other costs
5. Salaries and benefits of the employee. Or
6. Age of the university. tuwe specific tusaidie watu wanao tafuta vyuo tuache mahabah ya chuo kwasababu some one attended it.
 
Gentamycine una fanana na mwalimu deo kisandu kwa mambo mengi hata post zako huwa zinashangaza sana watu kifupi wewe ni aina ya kibwetere hata uraia wako watu wanauhoji sana humu juzi kuna mmoja alikuanzishia Uzi wa lugha ya kitusi Mara ujidai uko tiss kifupi una haiba tata sana

Ukiniwekea ' ushahidi ' wa ' post ' yangu yoyote ile ambayo Mimi GENTAMYCINE nilisema au nilijitangaza kuwa ni TISS Agent nitakushukuru sana. Halafu hili jambo mara kwa mara nalitolea ufafanuzi humu JF ila sijui kwanini ' Mpumbavu ' Wewe na ' Wapumbavu ' wenzako wachache mnashindwa kulielewa na hapa ndipo sehemu ambayo kiukweli huwa ' nawadharau ' mno tu.

Naomba Kuuliza swali hivi Mtu kujibu tu au kuwa na ufahamu wa masuala mazima ya Ujasusi ni lazima awe Jasusi? Hivi hapa JF ni GENTAMYCINE tu peke yake ambaye huwa anachangia sana ' mada ' za masuala ya Kiusalama? Tukipima kati yangu na Watu ' Nguli ' kabisa humu akina Yericko Nyerere na The Bold nani ambaye au ambao huwa wanajadili na kuyaongelea kabisa mambo ya Usalama ama yawe ya Tanzania au nje ya Tanzania?

Hivi Mtu kuongelea vyema mambo ya mpira basi ni lazima awe Mcheza mpira? Dokta Leakey Abdallah ambaye hana ' Mpinzani ' chini Tanzania kwa ' uchambuzi ' wa mipira Yeye ni Mchezaji mpira au ameshawahi hata kuwaambieni kuwa alicheza mpira wa Kiwango hicho?

Hivi kwa Mtu ambaye ana ' hulka ' ya Kujibiidisha ' Kimaarifa ' hasa kwa mambo ya Kiusalama / Kijasusi akisoma Vitabu mbalimbali, akiwafutilia Watu mbalimbali, akiwa anatizama ' movies ' mbalimbali na akiwa pia yupo katika Mitandao ya Kijasusi kama ya CIA ambayo huwa hawafichi ' kivile ' mambo yao leo hii nae akiwa anachangia kile alichojifunza huko atakuwa anajifanya ni mwana Usalama wa Taifa?

Mengine sitaki niende mbali zaidi au nikupe faida usiyostahili na nisiwe pia nje ya ' Maadili ' ila fahamu tu ya kwamba kwa ' mazingira ' niliyokulia na sehemu kadhaa nilizopita, kuishi na kulelewa ni vigumu sana kwa Mimi kutokuwa na angalau a,b,c's za hayo masuala. Fikisha ujumbe huu kwa wale ' Wapumbavu ' wenzio wote na waambie kwamba Wewe na Wao mnapoteza bure muda wenu kuanza kunijadili na kamwe msitake kulazimisha Watu wote tukafanana Kiuhalisia, Kiuzoefu na Kimasha. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Huyi atakua ni mwanasheria ameandika kwa mfumo wa legalese ndo maana hauoni punctuation marks or whatever

Afu waweza kuta alishawahi kuwadharau HKL, au alisoma HKL au mchepuo wowote wa sanaa na ajui matumizi ya aya.
 
nasikia sauti wanafundisha mapadri mkuu, ni kweli?

Maswali yako ya ' Kinafiki ' siyataki tafadhali na unapoelekea nitakujibu ' hovyo ' ili na Wewe uanze ' Kunichukia '. Uvumilivu wangu kwa ' Wapumbavu ' huwa una ' Kikomo ' chake. Nimemaliza.
 
Maswali yako ya ' Kinafiki ' siyataki tafadhali na unapoelekea nitakujibu ' hovyo ' ili na Wewe uanze ' Kunichukia '. Uvumilivu wangu kwa ' Wapumbavu ' huwa una ' Kikomo ' chake. Nimemaliza.
Mkuu sina nia mbaya... kwasababu wewe ulisoma hapo nilidhani ni vizuri kama ungenipatia mawili matatu ili nijue kama panafaa.... Niliwahi kusikia kuwa mapadri ndio wanafundisha sasa sijui kama ni kweli au la
 
Maswali yako ya ' Kinafiki ' siyataki tafadhali na unapoelekea nitakujibu ' hovyo ' ili na Wewe uanze ' Kunichukia '. Uvumilivu wangu kwa ' Wapumbavu ' huwa una ' Kikomo ' chake. Nimemaliza.

Kuna maisha baada ya upumbavu Mkuu.
 
mkuu mbona povu sana, halafu huwezi kupangilia hoja?
unaweza kujikuta haueleweki kumbe una point ya msingi tu.
Wewe kama yamekukuta huko, nenda kwenye mamlaka husika kawaambie, maana hapa umejumuisha vyuo vingi hata ambavyo huvifahamu vinaendeshwa vipi.

Hatukatai karibu kula chuo kina uozo wake hasa katika swala la maslahi, financial issues in general na taaluma.
 
Makumira na Saut ni miongoni mwa vyuo vya private vinavojiweza na bora tofauti na vingine

Saut wana wigo mpana wa kupata msaada njee ya nchi pale mambo ya kifedha yanapokuwa magumu, lakini kwa upande wa Makumira ni ngumu kidogo

Roman Catholic Church ,kuna taasisi nyingi sana za msaada.

Trust me Jiwe hataviacha vyuo vya private salama. Jiwe anapinga sana Private Institutions ,anavikandamiza Sana.
Vyote ni vyuo vya kata
 
nina ndugu yangu anauliza kuhusu ubora wa sauti wakuu!! vipi kuhusu habari kuwa mapadri ndo wanafundisha?
 
Yaliyoandikwa na Saigilo nayaunga mkono, kuna bursar pale mwenye elimu ya kuungaunga anajifanya DVC-Incharge anawanyanyasa sana wahadhiri, ana uwezo wa kumwajiri amtakaye bila interview wako hawara zake pale amewaajiri bila interview ana miliki account zenye mamilioni ya dola zote ni sadaka za waumini wa kanisa la kiinjili la kilutheri na kumfukuza asiyemtaka maana amemshika yule VC masai. anatongoza wahadhiri wake za watu ndio anayemshauri VC kuwadhulumu wahadhiri na kuiibia serikali. Muda utafika wa kuwataja wahusika walioajiriwa bila interview na waliofukuzwa kinyama mm nilijiondokea mwenyewe! Ukweli hali ni mbaya pale kuliko mnavyoweza kufikiri! Kuna mnyakyusa alipata ufadhili kwenda kusomea PhD aliambiwa achague kati ya kazi na kwenda kusoma, km mnavyojua ni vigumu kuwatajieni jina hadharani.Anayewa kuruhusiwa kwenda kusoma labda ae masai, mmeru au mchaga na lazima awe na uhusiano na wale wakubwa.
Sasa hiki utasema ni Chuo? SAUT kinawatafutia wakufunzi wake nafasi za kwenda kusoma nje pamoja na ufadhili
 
nina ndugu yangu anauliza kuhusu ubora wa sauti wakuu!! vipi kuhusu habari kuwa mapadri ndo wanafundisha?
Padre anafundisha yule aliye na sifa hizo si kila Padre anafundisha.........mwambie shule ya pale si lelemama akizubaa degree ya miaka 3 atasoma miaka 5
 
Back
Top Bottom