Petro??? Mbona jina la kigalatia??? Rip nways!
Kwa hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwa hakika Kwake tutarejea. Tujiandae kwa safari. Mwenyezi Mungu Amsamehe ndugu Imani Petro, Amrehemu na Amthibitishe kwa kauli thaabit. Aameen.Innaa Lillaahi Wainna Ilayhi Raaji'uun.