Kweli umetoka pabaya, mbona umejawa jazba wewe unafikiri uhalifu kwa binadamu yeyote unaruhusiwa kama ukitokea kanisani au msikitini???????????????????? Kama unaelewa uelewe namaanisha tupambane na hawa wanapjificha kwenye vivuli vya dini au siasa kudhuru wenzao Burudika na goma la Prof J linalosema HAPO VIPI HAPO SAWA
Jazba!
Kwa hiyo wale pale msikitini ni wahalifu eti?
Kwa nini tuendeleze mjadala mrefu wakati majibu tumeyaacha nyuma? Siyo msikitini tu hata ingekuwa kanisani jibu lingekuwa hilo hilo ni uhalifu dhidi ya binadamu na aliyefanya ni mhalifu au mdhalimu.
Chadema = Ukatoliki = Waraka wa katoliki