nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Zanzbar hakuna siasa kuna chuki zinazotdmbea kwa majina ya vyama
Yeah Zanzibar sio PEMBA...
Zanzbar hakuna siasa kuna chuki zinazotdmbea kwa majina ya vyama
Ongeza na chadema siku watakayo simamisha mgombea wa urais wa tz muslam ndio cku ya kufa chama na wajaribu
Mambo ya mke na mume siyo ya kuingilia. CUF ni mke wa CCM, tena ndoa halali. kwa nini watoto wapigane?
Ina maana CUF hawataki mtu mwenye dini ya kiislamu kuwa mwanachama wa CCM?
Kweli hivi vyama vyetu vya siasa vina udini ndani yake, jaji Tendwa kaa macho.
Haikuwa busara kwa Rais Shein kufanya tukio kubwa la kisiasa la kupokea viongozi wa kidini waliohama chama.
Imamu Said ni kati ya wanachama 30 wa Chama cha wananchi CUF waliamua kukiama chama cha wananchin CUF na kujiunga na CCM na walipokelewa Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM DK Ali Mohamed Shein Mey mwaka huu.
Zanzbar hakuna siasa kuna chuki zinazotdmbea kwa majina ya vyama
Ubaguzi wa
Wazanzibari na Udini wa CUF ndio utakaopelekea Jamhuri ya Watu wa Pemba
na Jamhuri ya Watu wa Unguja mara tu baada ya Muungano wa Tanzania kufa.
Mimi maombi yangu ni huu muungano ufe, halafu tuwaache wenyewe. Na
mtapoanza kuuana, marufuku kukimbilia huku
Chadema ndicho chama pekee kilichojipanga kitaasisi. Ni vigumu sana kwa sasa kuwaaminisha wapenzi wa Chadema kuwa chama chao kinaitikadi za udini. Waislamu walio Chadema kama mgosi Mohamedi Mtoi na wengineo wengi wako comfortable kabisa
Mimi huwa nina kawaida ya kutokuingilia masuala ya ndani ya mahusiano maana walipokaa 2010 hatujui walikubaliana nini!
Inabidi kufanya juu chini kuhakikisha muungano unadumu,maana ukifa watatusumbua sana kuomba hifadhi kama wakimbizi wa kivita!nakushauri tusiwakatie tamaa wariberali hawa!!!Ubaguzi wa Wazanzibari na Udini wa CUF ndio utakaopelekea Jamhuri ya Watu wa Pemba na Jamhuri ya Watu wa Unguja mara tu baada ya Muungano wa Tanzania kufa.
Mimi maombi yangu ni huu muungano ufe, halafu tuwaache wenyewe. Na mtapoanza kuuana, marufuku kukimbilia huku
Point!Ubaguzi wa Wazanzibari na Udini wa CUF ndio utakaopelekea Jamhuri ya Watu wa Pemba na Jamhuri ya Watu wa Unguja mara tu baada ya Muungano wa Tanzania kufa.
Mimi maombi yangu ni huu muungano ufe, halafu tuwaache wenyewe. Na mtapoanza kuuana, marufuku kukimbilia huku
Cuf imejengwa kwa Strategy ya ki-al qaeda 'intimidation'Kuhama chama mtu apigwe! Dah kweli tumechoka.