Mh ZZK hakuna nafasi ya uenyekiti wa chama taifa hata ukihamia vyama vingine,wamekushtukia uwezo wako wa uongozi ni mdogo. Unapenda kujikweza sana,umimi umekujaa bila kuthamini jitihada za wenzako. CCM wamekuambia hadi miaka15 ndani ya chama,ndo wakufikirie kukupa nafasi ya uongozi watakayoona itakufaa wewe,labda ubalozi nyumba kumi.Kwa ujumla hawakupendi,wanakutumia kwa mambo yao,na ukifukuzwa CDM ,wewe na siasa basi.