Imagine that | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imagine that

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Raia Fulani, Mar 25, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Fikiria dunia yote imekufa. Wewe ni mvulana. Kwa bahati isiyo na jina umesalia wewe na mama yako. Una miaka 18 hivi. Mama 36 hivi. Mwaka mzima mmekaa bila kukutana na dalili ya binadamu mwingine. Ndio nyie mmebakia. Mazingira yapo na vyakula na wanyama wapo ila si wote kama awali. Je, mtakaa hivyo hadi lini? Hamtafikiria kuanzisha kizazi chenu? Je, mtajadili hili? Utakuwa tayari kuanzisha kizazi na mzazi wako? Imagine that.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hapana aise,,,, kwa mimi kama mimi, i wont be ready,,, mama ni mtu wa kuheshimu sana, huwezi kufanya nae kitendo kama hicho
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kama waliumbwa Adamu na Hawa pekee, na ndio hao wawili walioanza kuzaa akina Kaini na Abeli,........

  Kaini na Abeli walizaa na dada zao, si ndio?

  Linazungumzika
   
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nitaacha kufikiria( ku-imagine)kwa sababu ni ujinga!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wakati mwingine si ujinga kama unavyodhani
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  na angekuwa baba na binti je
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mh! Sipati picha
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Really? What do you call something that makes no sense? Km umebaki na mama yako n kilakitu kimeharibiwa you won't last a week. So hata kama ukimvimbisha mama yako hataweza kujiifungua coz she (and you) won't last 9 months kwa sababu dunia yote imekufa( c inamaana mpaka mimea?) na hata kama she magically succeeds to give birth who will the child be with to raise her and become his/her companion so as to continue to give birth? Au mapacha? Na hata hao mapacha mpaka wafike umri wa kuzaa/kuzalisha bado tu wako hai provided that the world no longer produces? Seriously, nitaacha kufikiria.
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Laana ya Mungu ikushukie na fikra zako mbovu. Hapa ni Home of Great Thinkers. Sio wavutaji bangi.
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu give soma tena vizuri uzi wangu
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sivyo kama unavyofikiri. Ungetulia ungekuja na maoni tofauti
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Raia fulani Umefikiria nini..??!!
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unajua kufikiri ndugu. Nilikuwa na lengo la kusema sababu ya kupost hii kitu. Kuna muvi moja inaitwa 'In the year 2889'. Inapatikana pia Youtube. Ni filam nzuri ila sijaimaliza
   
 14. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe ndio umefikiria zaidi kwamba huyu jamaa kuna kitu anafikiria mimi ninafikiria huyu jamaa kila siku akimwangalia mama yake anatamani asigekuwa mama yake yaani kuna kitu zaidi ya hapo pengine anavutiwa naye au ana mvuto usio wa kawaida.
  nasema hivyo kwasababu kuna siku nilikuwa na mama mmoja sio mzazi wangu lakini umri wake ulikuwa umeenda aliki kwa jinsi alivyokuwa anaoneka niliona nilifikiri jinsi alivyokuwa msichana kama alikuwa na umbvo lile basi aliwatesa vijana wengi sana enzi zake na baada ya kufikiri hayo nikajikuta najiuli hivi ninafikiri nini, nilikaa na yule mama kwa siku chache maana tulikuwa tukisafiri na gari ilituharikia njiani unaweza kushangaa kwamba yule mama alikuwa na binti yake wa miaka 20 lakini yule mama aliyeoneka wa makamo kwa jinsi nilivyomuona mimi alikuwa na mvuto kuliko binti yake wa miaka 20. yule mama alikuwa na umbile zuri sana na alikuwa amejaaliwa haswa idaya ya mgongo na kuna wakati nilijikuta nikivutiwa kumwangali nafikiri nayeye alinigundua maana baadae alirudi kwenye gari na alikuwa hataki kushuka tena. ilifikia mahali nikajisemea huyu mama ana umbo zuri sana na lenye kunivutia lakini kwa umri wake anamkaribia kabisa mama yangu mzazi hapo nilipata wakati mgumu sana kutafakari. nawe tafakari
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu Mola apitishie mawazo yako mbali juu ya mzazi wangu. Nimemjibu viper vizuri hapo juu
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mboni hata lutu enzi hizo za sodoma na gomola watoto wake walibidii waanzishe famila kama vipi vipi tu kwani nini..
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kweli wewe ni ndetiichia. Ungependa kumtiichia hata madheri!
   
Loading...