Yaani huu ndio upeo wa hoja zako? Siamini kuwa binaadamu hungangania kitu hata kama kimechuja.
Pengine hukujijua kuwa uthibitisho wa kuwepo kwa mungu ni uwepo wako wewe? Usishangae na wala usilazimishe vitu wakati wewe mwenyewe umeumbwa katika mambo ambayo huwezi kuyagusa. Uthibitisho wa kuwepo kwa mungu ni uwepo wa wewe na kama unabisha basi thibitisha kuwa picha fulani au video fulani inaonyesha kuwa wewe huwezi kuwa kithibitisho cha kuwepo mungu.
Ninachokwambia mimi ni kuwa Mungu kakuumba nawe kataa na uniambie wewe umeteremkaje sijui wapi?
Nimemtukana vipi mungu wakati yeye mwenyewe kaumba viumbe, halafu hakufurahishwa kawafutilia mbali?
Huyu mungu ana tofauti gani na mtoto anayejifunza kuandika, akaona hakupatia muandiko, akafuta aanze upya?
Umeanidka halafu bada ya hapo tu umeandika tena
Wewe mwenyewe hujui kama unaenda au unarudi! Unajichanganya changanya tu. No wonder unaamini mungu ambaye huwezi kumthibitisha.
Linki gani zaidi ya wewe Kiranga, kwani si wewe ninaekuzungumzia na umeshindwa kuonyesha hiyo planning na hard working uliosema ndio msingi wa binaadamu.
Sasa ninakwambia kuwa yuko alie kuleta wewe Kiranga na akakupa na akili ukashindwa kuzitumia vizuri na kuanza kumkejeli.
Sasa ni zamu yako thibitisha kuwa hakuna kitu kama hicho bali wewe ni wewe na hard working na plani zako tu!
Yaani huu ndio upeo wa hoja zako? Siamini kuwa binaadamu hungangania kitu hata kama kimechuja.
Pengine hukujijua kuwa uthibitisho wa kuwepo kwa mungu ni uwepo wako wewe? Usishangae na wala usilazimishe vitu wakati wewe mwenyewe umeumbwa katika mambo ambayo huwezi kuyagusa. Uthibitisho wa kuwepo kwa mungu ni uwepo wa wewe na kama unabisha basi thibitisha kuwa picha fulani au video fulani inaonyesha kuwa wewe huwezi kuwa kithibitisho cha kuwepo mungu.
Ninachokwambia mimi ni kuwa Mungu kakuumba nawe kataa na uniambie wewe umeteremkaje sijui wapi?
KIRANGA alisema hajui alikotoka. Yani amejikuta yupo tu hahah.
Subiri ishara...
Hao anaosema wameendelea na hawaamini Mungu ni wapi? Huu ndio uzushi huu. Leta evidence hapa.
Ulaya, America na Arabuni kote wanaamini Mungu tena wako serious kuliko Africa.
Wengine Mungu ni sehemu ya katiba zao na nchi zao zinaongozwa kiimani kiasi cha kuwaadhibu wasiotii Mungu mfano Saudi, UAE, Poland. US wameweka mpaka kwenye dollar notes zao "In God We Trust".
Then unakuja hapa kupotosha watu kuwa kuna nchi zimeendelea na haziamini Mungu? Unaweza kutaja nchi hata moja ambayo watu wake hawaamini uwepo wa Mungu na hawaabudu chochote kwa imani kuwa kinauwezo juu ya binadam?
Because the doctrine of the Assumption of Mary is not found in the Bible, We Roman Catholics call Sacred Traditions that is equal in authority to the Bible.
"Finally the Immaculate Virgin, preserved free from all stain of original sin, when the course of her earthly life was finished, was taken up body and soul into heavenly glory, and exalted by the Lord as Queen over all things, so that she might be the more fully conformed to her Son, the Lord of lords and conqueror of sin and death." The Assumption of the Blessed Virgin is a singular participation in her Son's Resurrection and an anticipation of the resurrection of other Christians.
This is a Roman Catholic dogma,
The Blessed Virgin Mary Bodily Assumption which surely no faculty of the human mind could know by its own natural powers, as far as the heavenly glorification of the virginal body of the loving Mother of God is concerned, is a truth that has been revealed by God.
So i think its difficult to understand if you have not affirmed yourself the to the Roman Catholic teachings/doctrines.
HOLY MARY MOTHER OF GOD, PRAY FOR US SINNERS, NOW AND IN THE HOUR OF OUR DEATH AMEN!! luv u to death MOTHER MARY!
The only thing that is not limited is your ignorance.
just think and judge what is underneath ur clothes! Leave my religion and my sweet mother MARY mother of GOD aloneeeeeeee! If u dont like it, go hug a transfoma! Loooool!how can a god have a mother?
Doesn't that contradict the claim to the uncaused cause aspect of the said godhead?
The bible itself is full of contradictions, so to me, even the bible is not an authority.
Northern Europe, especially Scandinavian countries have a lower religiosity and higher quality of life
But I wouldn't expect you to know anything about that.
You actually have the audacity of mentioning "Saudi", a primitive country that does not even allow its women to drive, as an advanced nation.
Just goes to show how shallow your understanding is.
The bible itself is full of contradictions, so to me, even the bible is not an authority.
HOLY MARY MOTHER OF GOD, PRAY FOR US SINNERS, NOW AND IN THE HOUR OF OUR DEATH AMEN!! luv u to death MOTHER MARY!
Uwepo wangu unathibitishaje kuwepo kwa mungu, twende point moja baada ya nyingine.
Uwepo wangu unathibitishaje kuwepo kwa mungu?
Naam,na mpaka sasa ni mmoja tu alieclaim kuwa amekuumba. Kanusha hilo.
Ukisema hivi bila kunionyesha ni vipi wewe ndiye unayelazimisha.
Soma vitabu vitakatifu vitakupa maelezo zaidi.
Nithibitishie kwamba mungu kaniumba, kwa mifano isiyokiukika.
dotnet, vipi yakhe unanivamia tu, nilifikiri tuko upande mmoja au Kiranga kakuvuruga?Hao anaosema wameendelea na hawaamini Mungu ni wapi? Huu ndio uzushi huu. Leta evidence hapa.