Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,833
- 145,697
Naomba unisaidie, akili yako itafanyakazi kupima na kuelewa ikiwa nitakuletea device gani, picha, video au sanamu ili ufahamu kuwa yuko mungu?
Wako wewe ni utoto. Kitu hukijuwi na unaambiwa hichi ndio kitu chenyewe unachokitaka unasema sicho. Kumbe hicho kitu unachotaka uonyeshwe hukijui kilivyokaa kama utathibitisha kuwa hichi sicho.
​Kuwa muwazi jee unataka picha ya Mungu au Video yake au unataka document ya karatasi?
Hili swali mbona nishalijibu kama mara kumi tayari katika thread hii?
Nimeeleza, give me a logically consistent construct of your godhead at the very least, if at all you understand what that is, for your godhead to be even plausible.
Now, do you understand what that is?
Because to me, for you to even ask this question, a question that has ben answered several times, it shows me the either:
1. You are not paying attention to the discussion.
Or
2. Even if you are trying to pay attention, some concepts are too far above your capacity and compromised by a pathologically rotten cognitive dissonance.
Quite possibly you have a case of a deadly combination of the two.
Kutokujua jibu la swali isiwe mtaji wa kunipa jibu la uongo. Sihitaji kujua jibu exact la kweli ili kujua jibu fulani ni la uongo.
Nimekupa mfano, ukiniambia "What is the square root of two, to the sixth decimal place accuracy?" nitakwambia sijui jibu.
Ukiniambia jibu ni 8.265821 nitakupinga, bila hata kujua jibu lenyewe.
Kwa sababu ingawa jibu kamili silijui, najua kwamba square root ya mbiki ni lazima iwe ndogo kuliko mbili, haiwezi kuwa kubwa zaidi ya mbili. Hivyo haiwezi kuwa 8.265821.
Wewe unachotaka kuniambia hapa ni kwamba, kama sijui square root ya mbiki ni nini, nikubali jibu lolote utakalonipa, hata kama wewe mwenyewe umeshindwa kuniinyesha jibu hilo linakuwaje square root ya mbili.
Hivyo hivyo, umeniuliza chanzo changu ni nini. Nimekwambia sijui. Lakini kukuambia sijui haina maana nikubali tu jibu lako la kwamba chanzo changu ni mungu huyo unayemtaja ambaye hayuko logically consistent, bila ya wewe kunionyesha huyo mungu asiye logically consistent amekuwaje chanzo changu, na kwa nini mimi nisiwezekane kuwapo kwa njia nyingine yoyote.