Between myself, the one who is asking logical questions and you, he who is believing in an unseen, unprovable, unknowable godhead, who is mad here?
My Bible says if you do not believe that God exists then you are stupid. That's according to the Holy Bible.
Between myself, the one who is asking logical questions and you, he who is believing in an unseen, unprovable, unknowable godhead, who is mad here?
Sasa kuamini kuna picha ya bikira Maria imejichora ukutani na kuamini kuna mungu ambaye haonekani anamuangalia kila mtu kuna tofauti gani?
Kiranga;
Mheshimiwa saana Kiranga, najua kuwa weye ni mpinzani saana wa uwepo wa Mungu, muumba wa vyote, aliyevitaja vilivyoko navyo vikawepo. Hii ni pamoja na huyo anayejiita Kiranga, na anayejiamini saana kuwa anajua hakuna Mungu.
Lakini, Zaburi 14 : 1 Mpumbavu, amesema moyoni, Hakuna Mungu.
Ningetamani usome vizuri tu. Amesema, Mpumbavu, wala si Mjinga. Mpumbavu hashauriki wala hafundishiki. Hata ukimtwanga kwa mchi, hatwangiki. Ni tofauti kabisa na Mjinga. Mjinga hufundishika na pia hushaurika.
Sasa, back to the point; Kuamini kuwa kuna Mungu, mimi ninaamini kwa sababu, Mungu husema nami na kama ungetaka hata weye atasema na weye pia. Cha ajabu ni kuwa; Our God is not easily provoked by yu Mr. Kiranga.
Zab 53:1;
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu.
Kiranga ni Mpumbavu (as per the verse above, unless you do believe otherwise) - justified.
Hakuipata vipi wakati aligegedana name roho mtakatifu. Hakuna mimba isiyo baba.na bikira hawezi kushika mimba akabaki bikira bado.Anaitwa virgin kwa sababu
1. Kumbuka mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu na ndio maana anaitwabikra kwakuwa hakua amegegendana na mtu though alikua ana mumewe joseph ila aliambiwa atapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu ndio maana anaitwa bikra mapaka leo japokuwa amezaa ila mimba hiyo hakuipata kwa njia ya gegendo
"Mpumbavu amesema mpumbavu, amesema moyoni, hakuna mungu".
Hakuipata vipi wakati aligegedana name roho mtakatifu. Hakuna mimba isiyo baba.na bikira hawezi kushika mimba akabaki bikira bado.
Kuna dokta M-Sierra Leone kafa na ebola huko Nebraska.
Mungu alikuwa wapi kumnusuru?
behind everything there's something
kwani kufa ni nini ?
na kuishi ni nini ?
What is behind your god then?
You tell me.
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho
Non sequitur.
What has that got to do with the price of pork in China?
Kama mungu wako yupo kweli na wewe unamuelewa, mimi kushindwa kukutajia maana ya kifo na ninapokwenda baada ya kifo kutakuzuiaje wewe kunieleza vizuri kuhusu mungu wako?
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho
nimekwambia hivi
kama huwezi acha wanaojua wajibu niwaoneshe mungu alipo na uthibitisho
Nimekuuliza, what has that got to do with the price of pork in China?
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho
sitaki swali nataka jibu
Nikikwambia sijui maana yake ndiyo uthibitisho kwamba mungu yupo?
Ukinyoosha kidole kwenye chumba kilichofungwa mlango, na kuniuliza "ndani ya chumba hiki kuna nini?" Nikakwambia "Sijui, sijawahi kuingia humo".
Automatically maana yake ni kwamba chumba kina dhahabu?
How do you find the connection?
Ukitaka tukuchukulie seriously kwamba chumba kina dhahabu, prove it to us.
Ukitaka tukuchukulie seriously kwamba mungu yupo, prove that god exists.
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho