Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Tatizo linaanzia kwenye malezi madam Sakayo.
Hayo yanayowatokee mabinti zetu leo hii, ni matokeo tu ya malezi yetu kama wazazi. Kwa kweli wazazi nowadays tunajisahau kabisa, tupo so poor kwenye suala la malezi.....sijui ndio utandawazi wenyewe au lah?!!

Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!
Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..
Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.