I'm too old to be dumped

I'm too old to be dumped

Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!

Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..

Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Hivi mbona walalamikaji ni wazazi wa kike Sakayo
 
Nakwambia Mungu hajawai kukosea huwa anagawa kama tunavyostahili ni vile binadamu huwa tunajisahaulisha tu
Mimi huwa nawaambia kaka zangu Mungu ni wa wote wanaume na wanawake na siyo wa wanaume peke yao lakini hawataki kukubali hilo
 
Mimi huwa nawaambia kaka zangu Mungu ni wa wote wanaume na wanawake na siyo wa wanaume peke yao lakini hawataki kukubali hilo

Hata wasipokubali lakini haimzuii mwenye mamlaka yake kuwachukulia hatua
 
Asipoolewa si atakuwa anagongwa gongwa tu.
Mimi kama mzazi nina majukumu yangu kwa mwanangu. Majukumu yangu hayajumuishi kumuaminisha kua ndoa ni kila kitu maishani, hayajumuishi kumfundisha kua mapenzi ni kila kitu.

Nataka aiangalie dunia katika mtindo wake yeye kama yeye huku akirelate na jamii yetu. Nataka kwamba if ad nigga dumps her she wont be on her knees pleading for mercy na sio kumlamba lamba mtu miguu ati kisa kuna ndoa.
 
Huwa wanajitahidi kublend-in na mazingira ya ushuani sema mwisho wa siku wanaharibu.

Kuna kipindi unaona mbona huyu Fatu akiwa Mbagala na akiwa Masaki ni watu wawili tofauti.
Ila kuna jambo moja nimekuja kuligundua sijui ni kwanini madem wa uswahilini wakienda sehemu za ushuani ukitaka kumsoundisha anakua kama vile amepampiwa mara anakua kama na wenge.."hey please niache" sitaki kuongea na mtu ila ukimkuta mtoto wa kishua unaanza masalamu kadhaa mtoto naye anaunga vizuri...sielewi hili jambo kwanini lipo hivi
 
HABARI,

Nipo kwenye daladala natoka Kibamba naelekea Mawasiliano

Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano wake hayupo katika utulivu: " Samwel am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi? "

Kimoyo moyo nikajisemea, jamaa ashamtema dada wa watu.

Hapo hapo nikajikuta namkumbuka yule dada wa saluni ya kike pale Sinza , ambaye alipigiwa simu na bwana wake hakupokea, alafu akawaambia wenzake
"Mpaka apige mara 5 ndio napokea, na nikipokea najua lazima aombe msamaha".

Kwenye mapenzi ukishikwa, kazi unayo.

Ila kwa mtazamo wangu, dada zangu they have a lot to loose when it comes to love than sisi wanaume.

Huwa nawaangalia tu girls in their 20's wanavyovimba mitaani na kwenye daladala.

Anaweza akakusonya kwa kosa la kumwangalia tu.

Nowadays the big the ass, the dumb they become. They think having that stuff kills off everything (Stupid),

Kila picha anayopost, analenga chini ya kiuno. Like na comments za kutosha within few minutes.

Ujue girls kuna kitu hadi leo hamjui kutofautisha, either kwa makusudi or kwa kutotilia umakini. " WANAWAKE WANAOTREND KWENYE HARUSI THEY ARE QUITE DIFFERENT FROM THOSE WHO ARE TRENDING IN SOCIAL MEDIAS"
Unajua kwanini??

Ushawahi kuona vogue au any luxury cars shambani? Hayo magari ni kwa ajili ya kujistarehesha tu, ukifika muda wa kazi, muda wa kuingia shambani linahitajika trekta.

Hicho ndio kipindi ambacho statements kama za yule dada wa kwenye daladala ya Kibamba - Mawasiliano zinapokuja : "Too old to be dumped"

Wanawake wanaotrend kwenye harusi ni wa kawaida tu, sio wa kujichubua, no big ass. Normal shape but attractive.

So dada angu rukaruka ila jua umri unasonga, usipojitambua mapema utaishia kupokea kadi za michango tu au kuombwa uwe maid kwenye harusi ya best yako.

Au la, mtaenda kujazana kwenye miskiti na kanisa ili wawaombee uku mkidanganyishiya mmerogwa, ndo mjipangeView attachment 1225888View attachment 1225889
Tumekuelewa vizuri
 
Aunt leo Kuna barid

Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.

Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....

Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.

Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....

Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
 
Hivi hua una miaka mingapi? ?
 
Aunt leo Kuna barid

Kuna moto mkubwa umewashwa viwanja vya Mnazi Mmoja, wahi mtoto mzuri ukaote uondoe hiyo baaridi. Wauza kahawa pia hawako mbali na huo moto. Ukiona bado baridi haitoki piga push up 300 kwa interval ya mia mia.

Vikigoma vyote kamatia mwandani wako ukimbie umbali wa kilomita 21 bila kupumzika.
 
The Older the wine, the more the finnese!!!

Mabaharia wameelewa!

surtout ceux de vignobles de vin français mon ami

1570602296860.png
 
Back
Top Bottom