I'm too old to be dumped

I'm too old to be dumped

Anae jishusha hushushwa,maneno huumba.
Ni miaka kumi na moja sasa hajawahi kunikosea.Mwanzo nilikua naonekana kama dereva wake (wife) tukinunua vitu wauzaji wanaomba niwaombee kwa boss (mke) wangu anunue ili wapate riziki.
Mke wangu ni rafiki yangu mkubwa sana, hajijui kama ni mzuri, wambea ndio wanakomaa kuwa "alipo sipo"...
Hongera mkuu
 
Namimi naomba nikuone ili kujihakikishia ukigagula wako.. hahaaa
Eeehehehehheee kuna nafsi kadhaa humu JF zimeshaniona uso kwa uso, ana kwa ana, sauti kwa sauti, kiganja kwa kiganja....

Sitasema hapa wanasemaje kuhusu Kigagula Kasie ila deep down the inner me myself and I are both in that age you say meaning I stopped growing while I was in that age 30 years ago.
But in the outer, am the shell of a tortoise....(mvinyo mpya kwenye kiriba cha zamani, japo wine time ni ile ya zamani hivyo hakuna mautamu tena ni Mahaba tuu).

Platinum Kasinde.
 
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Nataka niseme chochote juu ya maneno yako haya,unatakiwa kujua tofauti kati ya binti kulelewa katika malezi ya kidini na binti kuwa na dini.

Sisi huwa tunaambiwa tuoe binti mwenye dini na sio binti alie lelewa katika malezi ya dini. Hapa kuna tofauti kubwa sana.

Binti mwenye dini,ile dini ndio yake ndio huwa kinga,humfanya ajue nani ana faa na nani hafai. Bibie mabinti wenye dini wako wengi sana na wazuri mno na wanaolewa sanaa.

Ukiona binti mrembo na amelelewa katika malezi ya dini anachezewa ujue huyo hana dini na kuna sehemu anakosea. Asili haiongopi wala haibadiliki. Dini ni elimu na kuifanyia kazi elimu hiyo.

Ni hayo tu .....
 
Na wote tuseme....

AAAMEEEN!!!
 
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.

Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....

Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.

Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....

Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
bonge moja la point aisee
 
tulilie bahati uzuri unakoma hata bibi alikuwa binti....ndoa ni bahati.
 
tulilie bahati uzuri unakoma hata bibi alikuwa binti....ndoa ni bahati.
Jiheshimu tu dada mengine mbwembwe, mwanaume haridhishwi kwa styles za ngono bali tabia njema ndo dawa
 
Back
Top Bottom