I'm real sorry

ladyfurahia kabla sijasema chochote napenda kujua tatizo lako nini? Uzi wako wa jana ulitustua wengi. Inawezekana mazingira ulionayo, home, familia, relation, kazi au marafiki kuna tatizo limetokea, unaposema uko njia panda hua unamaanisha unahitaji msaada flani japo wa mawazo. Pole kama kuna tatizo ila naomba tujulishe kama haitakua tatizo
 
Last edited by a moderator:
Shemeji ulikuwa wapi na wewe..? kishamuvuzishwa kitambo kauzi kenyewe.. BTW President hajambo lakini..? Mpe salamu kwa sana..

shem majukumu yamenibana mwenzio, ndio maana sitii maguu humu. Prezdaa yuko poa
 
Binamu nitakwambia online usijali ila niweke kwenye maombi yako
Mungu anisaidie nitoke ahapa nilipo pls achana na wanaopiga umbea hapa

cousin, but why umefanya hivyo jamani?? Umeniudhunisha sana...... Anyway nasubiri unipe taarifa kamili
 
come here my daughter ladyfurahia, i love you, naona your daddy watu8 ameteleza, darling come this way mtoto akiunyea mkono hauukati, samehe mtoto,
 
Last edited by a moderator:
asante mumy nitakwambia matatizo yote yaliyonitokea jana na hata sasa kule pm, kwasasa niache kwa muda kidogo ingawaje wako baadhi hapa wananicheka na kuniiona sifai ila namwachia Mungu najui iko siku yatakwisha haya yaliyonisibu sikutegemea kama wangetokea wengine na kunidhihaki kiasi hichi sikutarajjia mumy
come here my daughter ladyfurahia, i love you, naona your daddy watu8 ameteleza, darling come this way mtoto akiunyea mkono hauukati, samehe mtoto,
 
Ila mi sikuhukumu nisije kuhukumiwa da ladyfurahia. i think you were frustrated wakati unapost this thread But as long as umeadmit mistake in public and am sure yours is a sincere apology, mimi nakwambia tu pole na hatuna kinyongo na wewe. Ila tu muombe sana Mungu katika wakati huu, kwa maana in times like that, our faiths are being measured by Lord. Will pray for you and am asking kwa wana chitchat wote leo usiku tujoin kwa joint prayer kila mtu kwa imani yake nawakati wake amuombee mwenzetu kwa Mungu aweze kumponya katika jaribu hili. Unless otherwise Karucee lemie pass this cali leaf to you.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…