He he he he, una kipaji ujue?
Leo sina pop corn, ila nina karanga mbicho zitafaa tu.
Bali mlikutana LEO TUPO HAPA PUB......
Mzee mwenzangu hujambo?
Hehehe jf dramas. Mkimalizana pm mje msutane humu sie tushuhudie. I need a biggg mug of coffee. Kongosho ukuye pande hii
Bali mlikutana LEO TUPO HAPA PUB......
Mzee mwenzangu hujambo?
Sijui kinachoendelea Mungu wangu ila natamani kujua nini kinachoendelea humu
tafuta kauzi kameandikwa tanzia....loh
Kwa hii habari hata matango yatalika bila chumvi hehehe na as long as kuna chai ya rangi, akhuuu.
Nimekumbuka stori ya ulesbian, yalianza hivi hivi khaaa.
jukwaa gani? Hebu nipe link basi
hahahaha this has nothing to do with PM'S! ladyfurahia KUNA KOSA ALILIFANYA AMBALO LILIWAKERA SANA WANA JAMVI NDIO MAANA AMEONA VYEMA KUOMBA MSAHAMA.
KAFANYA VYEMA KUOMBA MSAMAHA NA UKIMSOMA VYEMA UTAGUNDUA KUWA BADO ANA HITAJI MSAADA MAANA ALILO LIFANYA SI LA KAWAIDA.
KUANDIKA HII THREAD YA KUOMBA MSAMAHA NAFIKIRI NI HATUA MOJA KATIKA UPONAJI WAKE.
MKUU watu8 MSAMEHE MWANAO HITASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO ALILO NALO.
KWA KWELI HATA MIMI NILIKERWA NA KUWA DISSAPOINTED KWA KITENDO ALICHO FANYA NA SIKUTEGEMEA KUTOKA KWAKE.
BILA SHAKA MSAHADA ANAO HITAJI KWA SASA NI USHAURI WA KISAIKOLOJIA NAMI NAMSHAURI AMTAFUTE MSHAURI HITAMSAIDIA SANA.
Daddie nakuja kunywa kahawa huko. Carrot cake inanihusu
jukwaa hili hili mmh kasim kangu ka mchna hakawezi weka link! Loh miye mmbeya!!
Sijui kinachoendelea Mungu wangu ila natamani kujua nini kinachoendelea humu
hahahaa..... Ngoja niisake
Nicas Mtei, Mentor njooni huku. Hatimaye mtuhumiwa namba moja kajitokeza.
Mbina mie mwanajamvi na sijui?
Kubwa sana alifanya ni lipi? Au na yeye ni Nkamia anataka kutufungia jamvi letu? Kwa hapo ntamzabua hadi akimbie.
mbina mie mwanajamvi na sijui?
Kubwa sana alifanya ni lipi? Au na yeye ni nkamia anataka kutufungia jamvi letu? Kwa hapo ntamzabua hadi akimbie.
jukwaa gani? Hebu nipe link basi
nakusaka kuleeeee sikupati