Nakosa lugha ya kuandika hapa marafiki zangu
NINACHOHITAJI KWENU MNISAMEHE KWA YOTE YALIYOTOKEA
JANA SITOPENDA KUSEMA YALIYONISIBU niko na stress bado
WAKO WALIOSHTUKA NA WAKO NILIOWAUDHI PIA.
NYOTE NAWAOMBA MNISAMEHE NA MNIOMBEE KWA MUNGU
kwani niko njia panda sijielewi niko so confused naona giza
mbele yangu akili imechanganyikana, sijui niseme nini
MNISAMEHE KWA YALIYOTOKEA MNISAMEHE
Daddy watu8 NISAMEHE SANA TENA SANA
NAJUA SISTAHILI KUITWA MWANAO TENA BALI
NAOMBA UNISAMEHE NIWEKE MKONO WAKO KULIA
MM NI MTOTO WAKO, USINITUPE NAITAJI MSAADA WAKO
KWA SASA NIKO NJIA PANDA SIJIELEWIELEWI DADDY
Tumeumbwa ili tukabiliane na matatizo na changamoto mbali mbali na yote hayo ni kwa ajili ya kutufanya tuwe stronger.. Unapopatwa na matatizo unapaswa kumuomba Mungu na hakika atakusaidia.. And its good also if u talk to someone about ur problems.. Keeping them bottled up in ur chest ain't healthy & it may lead u to take a quick way out..
beib tusimuhukumu ladyfurahia kwa hayo aliyofanya kwa kuwa ameshaomba msamaha.. Muhimu ni kujaribu kumsaidia maana ninaona anapita kwenye kipindi kigumu sana kwake.. Ombi langu kwake ni afunguke itamsaidia kupunguza burden..