HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,366
- 94,547
Huwa mnaambiwa kuna muda maringo yenu yanaisha yote na wakati ndio kuanzia 28 hadi huko ulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mfahamiano kati ya hawa wawili ?braza kaka acha mwenzako atafute wa kutulia nae miaka inaenda. Kila la kheri viola endelea dadaKula jeuri yako, viburi na ujuaji ndo vinawaponza sasa zeeka hivyo hvyo, na wote utaowapata hapa watakupinga mkuyenge na kukuacha
mwaka mpya na mambo mapya babuBasi nshaelewa... kwanini umefanya hivyo lakini?
Hivi kumbe tunaweza badilisha ID
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
No. Capital NOOOO.wewe ni sda
Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.