I'm looking for matured Man to be my husband

Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Naona umefanya leverage ya kutumia thread ya bidada kutangaza mahitaji yako.
Umejiongeza kisomi, smart move.
Tayari ushampata mwenza mkuu?
 
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Una watoto wangapi?
 
Aya pambana mkuu mm wacha nife singo nilivofanyiwa na mwanamke sina kabisa imani nao kvant ndo mpenzi pekee kwa sasa
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32

Depal are you serious ? What is wrong with the streets people are more accessible there more that they are here ? What are you guys experiencing out there ? Mna experience inauofanana mpaka mje huku ?

Sio kwa ubaya nauliza nataka nijue tu manake I am also single ila naona kama wanawake wapo wengi sana ambao wapo loose huko mtaan ni vile tu naona muda haujafika..Hata kama utaona haifai kunijibu hapa please dm me kuhusu experience ambayo watu wanapitiaga kiasi kwamba wanakuja kusema huku...PLEASE...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom