I'm looking for matured Man to be my husband

Depal are you serious ? What is wrong with the streets people are more accessible there more that they are here ? What are you guys experiencing out there ? Mna experience inauofanana mpaka mje huku ? Sio kwa ubaya nauliza nataka nijue tu manake I am also single ila naona kama wanawake wapo wengi sana ambao wapo loose huko mtaan ni vile tu naona muda haujafika..Hata kama utaona haifai kunijibu hapa please dm me kuhusu experience ambayo watu wanapitiaga kiasi kwamba wanakuja kusema huku...PLEASE...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mambo yako mengi, naona uvivu kuandika
 
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Nipo Mimi
 
Kama upo sereous nitext kwenye 0743503492
 
Waswahili tulioshawishika tukawa wabuddha tuliingia chaka. Yaani sijawahi ona mtu anahitaji mwenza akatuweka kwenye list
 
Depal are you serious ? What is wrong with the streets people are more accessible there more that they are here ? What are you guys experiencing out there ? Mna experience inauofanana mpaka mje huku ?

Sio kwa ubaya nauliza nataka nijue tu manake I am also single ila naona kama wanawake wapo wengi sana ambao wapo loose huko mtaan ni vile tu naona muda haujafika..Hata kama utaona haifai kunijibu hapa please dm me kuhusu experience ambayo watu wanapitiaga kiasi kwamba wanakuja kusema huku...PLEASE...

Sent from my iPhone using JamiiForums
blaza kumbuka mwanamke hatongozi,anatongozwa.

hapo kwenye kutongozwa,afanye upembuzi,ndipo akubali,kisha aingie.
kunakuwa na mambo mengi.mwisho ndio hii unakuta umetongozwa na wanaume 19 mtaani,7 waume za watu,9 watoto wadogo(utoto),watatu kati yao wanafanana vigezo,ila wawili malaya,mmoja mlevi.

unaona bora ukaushe tu,uje jf kwa GT labda ukakutana na mtu ambaye kichwa kimetulia.jf ni kubwa sana mkuu hawajakosea hata kidogo kuja huku,kwanza unakuwa huru kujieleza,mtaani huwezi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tumeelewana
 
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
karibu
 
Si kweli

Cheki vizuri umri wako•
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom