Natafuta mwanamke mwenye mapenzi dhati na malengo

Dumejr

Member
Feb 16, 2021
56
48
Natumai ni wazima wa afya nipo leo hapa kutafuta mwenza (mwanamke) ambaye atakuwa tayari kuanza nae safari ya mahusiano mpaka hapo baadae ndoa.

Sifa zangu;
1) Umri miaka 22.
2) Mweusi kiasi, sio mwembamba wala sio mnene, sio mrefu wala sio mfupi, kimo cha wastani.
3) Nina hofu ya Mungu.
4) Elimu nina Diploma.

Sifa za mwanamke ninayemuhitaji;
1) Awe na hofu ya Mungu.
2) Kabila lolote, rangi yeyote, elimu yeyote, umri wowote.
3) Awe muaminifu, hekima, busara, heshima, myenyekevu na utii kwangu.

Kwa mwanamke yeyote ambaye atakuwa tayari au kuvutiwa na sifa zangu hizo ni PM.

Sijaja hapa kuomba ushauri kwahiyo kama mtu una ushauri wako negative nakuomba ukae kimya au fanya kama hujauona uzi huu. Wanawake tu ukiona una vigezo hivyo ni PM. Nipo DSM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom