I'm just thinking....xo xo xo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I'm just thinking....xo xo xo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Viol, Jun 7, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mdomo ni kwa ajili ya kulia chakula,pia unasaidia kutoa na kuigiza hewa,sasa pale unapotumika kwenye maadalizi ya kuamsha hisia inakwaje?mfano kuswaki na uchimbaji madini.
  Ina maana viungo husika havijitoshelezi?je kwa upande wa maswala ya kiroho(dini) hata kama mmeoana ni sawa?au ndo usodoma na gomora?
   
 2. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  :confused2: ni kisasa zaidi.
   
 3. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mhhhh jamani itahamishiwa sasa hivi kwa wakubwa, mie nadhani kila mtu na utashi wake, kuna wengine bila hiyo hujampigia kazi bado
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  shantel ila ni kweli wengine bila hvo hawatosheki
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  halafu bila hvo hainogi pia
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Aisee mapenzi ya siku hizi bila hiyo kitu hainogi.mi mwenyewe napenda kuzama chumvini
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kama mko ndani ya ndoa
  mmmhh zamisha na kichwa ukipenda ....
  maana ndio hivyo mpaka kieleweke
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaka punda hafundishwi kunywa maji,
  nani alikwambia kuwa hii sanaa ina formula,
  we jiachie upendavyo, fanya utakalo ili mradi mridhishane,
  na mfurahie wote kwa pamoja!

  Usiulize tena maswali ya namna hii.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye dini wataalamu wa dini wanahitajika kutoa ufafanuzi..
  Lakini bila hiyo kwa dunia ya sasa hakuna mapenzi.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaaahhh!!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hata kama kutumia mtandao???:confused2::confused2:
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  yote heri tu,
  unajua starehe waipatayo watu wawili,
  wao peke yao ndo wanaweza kuielezea,

  Tatizo tunakuwa wasiri sana kwenye hii starehe,
  kumbe moyoni tunaugulia kimyakimya,
  tuzungumze jamani!!!!!!!
  TAFAKARI,CHUKUA HATUA
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jiachie mtoto wa kike,
  acha kubana, utakuja kuzinduka usiku ushakuwa mnene......................
   
 14. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ndani ya ndoa hata kukiss ni taabu moja kwa moja kwenye linalohusi balaa tupu, wengi walioolewa wanasema wamesahau hata romance ni nini, mume akifika anaanza tu moja kwa moja
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mtandao wanaolimbuka nao wote ni wale washamba tu, wanaojua starehe mambo yote manual tu
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ila kweli hainogi mkuu
   
 17. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Ukitaka kukimbiwa usifanye hayo,vinginevyo................gaudeamus igitur(so let us rejoice)
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Code:
  Mhhhh jamani itahamishiwa sasa hivi kwa wakubwa, mie nadhani kila mtu na utashi wake, kuna wengine bila hiyo hujampigia kazi bado
  It is now too late to catch the departed bus................
   
 19. m

  mkulimamwema Senior Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchafu tu
   
 20. SexaMicca

  SexaMicca Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchafu gani sasa na wewe?
  nyie mnaoleta usafi kwenye game ndo huwaga hamfaidi nyie
   
Loading...