I'm just thinking....xo xo xo

Kwa upande wa iman sijui,ila ni swali zuri,lakini pia ukweli ni kuwa mapenzi ni uchafu kama wataka mwenzako afurahie ni lazima upite sehemu zote za mwili!Hasa zile zinazosemekana ni chafu!
 
Code:
Mhhhh jamani itahamishiwa sasa hivi kwa wakubwa, mie nadhani kila mtu na utashi wake, kuna wengine bila hiyo hujampigia kazi bado

It is now too late to catch the departed bus................
I always admire your comments
 
Sijui hata inakuwaje jambo hili! Wapenzi waliooana baada ya kunogesheana saaaaana unashangaa kuwakuta hata kugusana hawataki. Kikubwa ugomvi full time! Mara huyu kiburi, mara hajali, mara anachelewa........!
Ndani ya ndoa hata kukiss ni taabu moja kwa moja kwenye linalohusi balaa tupu, wengi walioolewa wanasema wamesahau hata romance ni nini, mume akifika anaanza tu moja kwa moja
 
yote heri tu,
unajua starehe waipatayo watu wawili,
wao peke yao ndo wanaweza kuielezea,

Tatizo tunakuwa wasiri sana kwenye hii starehe,
kumbe moyoni tunaugulia kimyakimya,
tuzungumze jamani!!!!!!!
TAFAKARI,CHUKUA HATUA
Kwa msaada wa watu wa Marekani!!! Ha ha haaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom