slowpancha
Senior Member
- Jul 27, 2014
- 184
- 102
Piga kazi,hrf jichukulie uko kawaida.kunywa dawa kwakati na usiache,huna alama usoni usijihukumu.na utaishi miaka mingi tu.kufa ni lzm kna kifo utachokufa MUNGU mwenyewe Alishapanga pengine hutokufa kwa hayo maradhi.usiogope,siku hz maralia yanaua kuliko ukimwi