I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

Nakupa pole sio kwa kuwa ni HIV+ bali kwa hofu iliokushika na kutaka kukupotezea mustakbali wa maisha.

Kuwa HIV+ sio mwisho wa maisha. Huu ni managable kwa maana matumizi sahihi ya ARV yatarefusha maisha yako ukiwa na afya njema na ukafikia ndoto zako.

Nimeshuhudia mtu aliugundulika na HIV+ akiwa kidato cha Tatu, leo kamaliza chuo na kaajiriwa akiwa mwenye afya tele na furaha maishani mwake.
 
hivi ni kweli ukiwa umeathirika huwezi kwenda USA or CANADA? by the way kuna dogo namfahamu kazaliwa nao na amekomaa hadi form six so tulia na utimize ndoto zako
Kuna nchi kama ni mwathirika hawakupi visa, hasa wanaoenda kwa masomo. Kuna nchi hata ukiwa na tuberculosis tu huendi, wenye experience ya USA na Canada wampe mwenzetu mwanga.
 
Nimesoma hili andiko lako Mdogo wangu nimeumia sana! ila hakuna jinsi twende mbele waathirika wapo/tupo wengi tu bahati nzuri uathirika wa ukimwi si kama madawa ya kulevya useme mgonjwa atatoa unenda kama ishara ya uathirika wake! Ni ngumu kuikubali hiyo hali hasa nikikumbuka nilipokua form 6 niliwahi kumpeleka mwana familia kwenda kupima baada ya kuugua ugua Mara kwa Mara,hakika jioni ile nilikua natakiwa nihudhurie sherehe moja hivi lakini ulimwengu wote niliuona unazungukwa na Yale majibu nilimuhurumia sana nilitoka machozi ndani ya sherehe kila mtu aliniuliza Mwana**** unaumwa,niliwajibu hapana ila kila nikimfikiria Dada yule mwana familia mwenzangu kwa kweli nilihisi Dunia imemuonea, ila huwezi amini yupo mpaka Leo ana Afya yake safi wasio kua nao wanakufa yeye yupo ana furaha wakati wote na anazingatia sana matibabu yake! Nasi tunam support sana like haumwi, kikubwa tuliza kichwa Mdogo wangu
 
Dah!! Aiseee!!! Pole sana[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️hapa nimeshindwa hata kuamka kitandan kabisa, nataman nikaoime voz nkis nilizopita ni hatarishi sna
 
Nikutie nguvu, kuwa positive, usiogope wala kuwaza sana. Unahitaji kuwa positive ili kuilinda afya yako.

Naamini HIV sio issue kubwa kama miaka ya 80-90, ingewezekana kukawa na "HIV+ CLUB" ya kusaidiana kimawazo na kupeana ushauri kwa waliopo + na wengine wanaopenda kujifunza. Naamini hata humu jf kuna HIV+ wa kutosha kwa sababu hii nayo ni jamii kama zilivyo nyingine, tungesaidiana kwa kupeana ushauri nk.

Kula vizuri, lala vizuri, punguza mawazo, acha ngono zembe na punguza kufanya ngono.

Be strong.
 
Hello guys first of all ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa cas najiona like I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri. Natanguliza shukran kwa wote mtaopitia this thread and may God use all of you kunishauri cas nmekua na ndoto nyingi but now is like I'm nothing in this word.
I have a long story to tell but naona itaniumiza cas maisha nlopitia after my father died God knows. Ila now I'm trying to accept who i am now. (some says is true HIV Exists and others says is a hoax) but to me i see it like true maybe nathani wale ambao ni +ve like me wataelewa what am i talking about. Is very hard for me to believe but is like this:-(
Mimi ni kijana now I'm 22 yrs old na mpaka nnapoandika hivi my mother hajui if i have HIV And she still have so many hope on me cas hakubahatika kusoma but alinisomesha tena shule za ghalama tu kwa biashara zake ndgo ndogo na niafanikiw kumaliza form 6 though nkapata temporally job here in dar kwenye kampun moja hivi nkaona let me work first and after getting money nijiendeleze cas my mom ni kama hali imekuw ngum kidgo kwake and alifurahi sana na kuniombea Mungu maana nlianza kumsaidia nae hata viela kidogo vya matumizi akiwa na shida I'm the only person anaweza mpigia akiamini tamsaidia and i always do that hata leo nmetoka kuongea nae na yeye anafurahi sana ila hajajua mimi nina huzuni kuu na nilikuwa natoa machozi wakat naongea nae japo sikutaka ajue if nalia ye yuko mkoani so nkifikiria siku atayojua sijui itakuaje. Though I'm planning not to tell her ever.
Niliumwa nkiwa at work ghafla tu kichwa and nkawa sijielew but nkajua it will be Maralia so i took medicine (panadol) kutuliza mauvivu then badala ya kupata nafuu hali ilikuw mbay and it was just in few moment that happened so cas it was late nkaondoka nkaenda kwangu nnapoishi but all i was thinking was just maralia cas i don't use mosquito net. Then next day nkaenda hospital kubwa tu down town nkapima and the result comes that ni maralia so i went back home nkiw na dawa nlizopew hospital but hali ilizid kuw mbaya nkawa siwez hata kusimama jioni and naishi alone so nkamcontact my friend (she is just like my sister to me cas she is all i ahave in Dar) so nkaenda kwake that night but hali ikawa mbaya sana sana. Kila nikinywa dawa hali inakuw mbYa mpaka tukahisi maybe dawa walizonipa zina side effects mbaya sana. So next day jion hivi nikarudi hospital na nilipofika nkawaeleza and nikapata vipimo tena then this time doctor akasema mbona huna maralia ila una UTI na typhord. Nkapewa dozi nkarudi but that night nlipokunywa dawa nlihisi I'm gonna die cas nilizidiwa mala mbili ya mwanzo so next day early in the morning nkarud hospital and nlikua nakohoa sana sana mwili hauna nguvu so nkalazwa kabisa. Nkatundikiw dlip nkapew na dawa but next day nkapat nafuu and i was like what happened i asked nesi wa pale hospital hakunijbu ila aliuliza kam nna ndugu dar and i said no i have friends only na akaniuliza how i live nkamwambia. She was so sad but nkajua ni nesi so ananionea huruma nnavo umwa. Next day nkawa ok and nkapew billi yangu ambay ilikuw kubw kidgo kama mnavojua private hospitals. But sikujua naumwa nn and ile nataka kuondoka doctor akaniita ofisin kwake.... And he asked me so many questions. But i will never forget that in a simple way he told me now wewe ni muathilika wa vvu. Guys it was a bad moment ever in my life. And mimi npo naugulia namuona as he is clazy telling me such thing ye akaanza kunambia so inabidi uanze kutumia dawa. Siwez kuelezea how i was that time but situation hio sitaisahau nililia kama mtoto mdogo.but doctor didnt care na akanipeleka kwenye system yao ya watu wa HIV.
Niliona dunia yote imeniangukia nimetoka hapo kila nliemuona barabarani niliona sifanani nae. The question was where did i get this thing? Nkiangalia zile ARV nlizopew nlikuw nalia. Nilipew pia dozi ya typhoid so nmefka home nkamwambia sister is just typhoid. Hakuwez kuja kunchukua hospital cas ya nature y kazi yake na mda.
Guys until now sijamuelez mtu this issue but nkaemda 3 different hospitals kupma cas sikuamini but the answer was im HIV +. Nililia na kutaka kuacha hat kwenda kazn but nkajifkilia nkasema ok i will go. Nmeenda job kila nliemuona nilihisi anajua that nmeathirika. Nilikuwa na hasira za ajabu na nilizima cm wiki nzima na sikuwa nalaalla ucku vizuri. But nkaanza kutumia dawa zile ARV. Naomba nisiendelee zaidi but sitasahau those days ever in my life. And trust me we have poor doctors in tz (some not all) cas isingekuw Mungu nngejiua trust me cas no doctor aliekuw ananipa ushauri zaidi ya bla bla bla.
Ok back to the topic. Ndugu zangu nilikuwa nimeplani a lot of things but nimekata tamaa kabisa kabisa na najiona sio mtu tena. Naomba ushauri wenu katika yafuatayo.
(1) nilikuwa nimeplan kwenda USA au Canada kutafta maisha kwa njia ya kusoma kwanza. But some people kwenye mtandao wanasema MTU mwenye HIV hawakubari katika nnchi hizo. Guys is it true? Because if is true I'm going to die soon kwa presha cas ni ndoto nilizokuwa nazo since niko mdogo sana.
Naomba niishie hapa cas i cant write anymore inaniuma sana guys. Why world is not fare like this? Everyday I'm trying to figure out nmepata wapi huu ugonjwa but i don't get the answer. But all in all if nawez kupona please advise me how hata kama kuna madaktar wanaitaj mtu wamfanyie experiment here i am. Nnchi yyte.
Guys usiombe yakukute please stay safe always na usimcheke alienao cas you never know like i dont know nlikoupata. Nmekua wa kulia everyday I'm like God mbona umeniacha. But i hope tapona guys i hope one day takuwa ushuhuda kwa dunia in Jesus name Amen.
If una ushauri au maoni please unawez kuja inbox. Sorry for long story but mengne taeleza ndani ya thread.
Thank you for reading this.
Hii ni ishu ya kawaida bwana mdogo japo wewe umeandika kama unaandika story za kijiweni umechanganya lugha za kishule kama mnapiga story vile,hapo,ila nachokushauri tuliza akili na endelea na maisha kuna maisha marefu tu,mungu ndio anajua kitakacho muua yeyote yule,wewe unaesema utakufa soon unaweza ishi zaidi ya yule alie mzima na asie athirika,sasa basi endeleza ndoto zako,maisha yapo hata Tanzania sio lazima Canada na USA,na pia jua kila umuonae atakufa siku yeyote hata kama hajaathirika kwani kufa ni lazima kwa nafsi yeyote ile.
 
Dahh, nikiskiaga hizi ishu naeza nsigegede mwez mzima.
 
Usikate Tamaa. Majaribu ni kipimo japo unapitia magumu ila usiache Imani ulionayo.
 
Nimeshindwa kumaliza chagua kiswahili au ngeli
 
Kwenda usa kama mwanafunzi hawakupimi hiv wala chochote. Though utatakiwa kufanya chanjo za kawaida either hapa au kwenye primary cares zao ukifika

Keep ya head up japo ni ngumu
Ina maana ataruhusiwa kwenda bila kipimo kweli marekani walivyo na figisu vile katika kutoa visa? What about Canada utaratibu wao ukoje?
 
Hivi sisi watz kwanini tunawaza vibaya. ? Mwenye ukimwi mbona wapo wengi wanaishi maisha marefu na yenye furaha tele. .. na wamefanikiwa kuwa na familia zao. .. bwana mdogo ebu acha kukata tamaa inuka ukiwa na tumaini jipya kuwa unaenda kuishi maisha yenye furaha kuanzia sasa cha msingi husiache kutumia izo ARV's drugs
 
Hello guys first of all ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa cas najiona like I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri. Natanguliza shukran kwa wote mtaopitia this thread and may God use all of you kunishauri cas nmekua na ndoto nyingi but now is like I'm nothing in this word.
I have a long story to tell but naona itaniumiza cas maisha nlopitia after my father died God knows. Ila now I'm trying to accept who i am now. (some says is true HIV Exists and others says is a hoax) but to me i see it like true maybe nathani wale ambao ni +ve like me wataelewa what am i talking about. Is very hard for me to believe but is like this:-(
Mimi ni kijana now I'm 22 yrs old na mpaka nnapoandika hivi my mother hajui if i have HIV And she still have so many hope on me cas hakubahatika kusoma but alinisomesha tena shule za ghalama tu kwa biashara zake ndgo ndogo na niafanikiw kumaliza form 6 though nkapata temporally job here in dar kwenye kampun moja hivi nkaona let me work first and after getting money nijiendeleze cas my mom ni kama hali imekuw ngum kidgo kwake and alifurahi sana na kuniombea Mungu maana nlianza kumsaidia nae hata viela kidogo vya matumizi akiwa na shida I'm the only person anaweza mpigia akiamini tamsaidia and i always do that hata leo nmetoka kuongea nae na yeye anafurahi sana ila hajajua mimi nina huzuni kuu na nilikuwa natoa machozi wakat naongea nae japo sikutaka ajue if nalia ye yuko mkoani so nkifikiria siku atayojua sijui itakuaje. Though I'm planning not to tell her ever.
Niliumwa nkiwa at work ghafla tu kichwa and nkawa sijielew but nkajua it will be Maralia so i took medicine (panadol) kutuliza mauvivu then badala ya kupata nafuu hali ilikuw mbay and it was just in few moment that happened so cas it was late nkaondoka nkaenda kwangu nnapoishi but all i was thinking was just maralia cas i don't use mosquito net. Then next day nkaenda hospital kubwa tu down town nkapima and the result comes that ni maralia so i went back home nkiw na dawa nlizopew hospital but hali ilizid kuw mbaya nkawa siwez hata kusimama jioni and naishi alone so nkamcontact my friend (she is just like my sister to me cas she is all i ahave in Dar) so nkaenda kwake that night but hali ikawa mbaya sana sana. Kila nikinywa dawa hali inakuw mbYa mpaka tukahisi maybe dawa walizonipa zina side effects mbaya sana. So next day jion hivi nikarudi hospital na nilipofika nkawaeleza and nikapata vipimo tena then this time doctor akasema mbona huna maralia ila una UTI na typhord. Nkapewa dozi nkarudi but that night nlipokunywa dawa nlihisi I'm gonna die cas nilizidiwa mala mbili ya mwanzo so next day early in the morning nkarud hospital and nlikua nakohoa sana sana mwili hauna nguvu so nkalazwa kabisa. Nkatundikiw dlip nkapew na dawa but next day nkapat nafuu and i was like what happened i asked nesi wa pale hospital hakunijbu ila aliuliza kam nna ndugu dar and i said no i have friends only na akaniuliza how i live nkamwambia. She was so sad but nkajua ni nesi so ananionea huruma nnavo umwa. Next day nkawa ok and nkapew billi yangu ambay ilikuw kubw kidgo kama mnavojua private hospitals. But sikujua naumwa nn and ile nataka kuondoka doctor akaniita ofisin kwake.... And he asked me so many questions. But i will never forget that in a simple way he told me now wewe ni muathilika wa vvu. Guys it was a bad moment ever in my life. And mimi npo naugulia namuona as he is clazy telling me such thing ye akaanza kunambia so inabidi uanze kutumia dawa. Siwez kuelezea how i was that time but situation hio sitaisahau nililia kama mtoto mdogo.but doctor didnt care na akanipeleka kwenye system yao ya watu wa HIV.
Niliona dunia yote imeniangukia nimetoka hapo kila nliemuona barabarani niliona sifanani nae. The question was where did i get this thing? Nkiangalia zile ARV nlizopew nlikuw nalia. Nilipew pia dozi ya typhoid so nmefka home nkamwambia sister is just typhoid. Hakuwez kuja kunchukua hospital cas ya nature y kazi yake na mda.
Guys until now sijamuelez mtu this issue but nkaemda 3 different hospitals kupma cas sikuamini but the answer was im HIV +. Nililia na kutaka kuacha hat kwenda kazn but nkajifkilia nkasema ok i will go. Nmeenda job kila nliemuona nilihisi anajua that nmeathirika. Nilikuwa na hasira za ajabu na nilizima cm wiki nzima na sikuwa nalaalla ucku vizuri. But nkaanza kutumia dawa zile ARV. Naomba nisiendelee zaidi but sitasahau those days ever in my life. And trust me we have poor doctors in tz (some not all) cas isingekuw Mungu nngejiua trust me cas no doctor aliekuw ananipa ushauri zaidi ya bla bla bla.
Ok back to the topic. Ndugu zangu nilikuwa nimeplani a lot of things but nimekata tamaa kabisa kabisa na najiona sio mtu tena. Naomba ushauri wenu katika yafuatayo.
(1) nilikuwa nimeplan kwenda USA au Canada kutafta maisha kwa njia ya kusoma kwanza. But some people kwenye mtandao wanasema MTU mwenye HIV hawakubari katika nnchi hizo. Guys is it true? Because if is true I'm going to die soon kwa presha cas ni ndoto nilizokuwa nazo since niko mdogo sana.
Naomba niishie hapa cas i cant write anymore inaniuma sana guys. Why world is not fare like this? Everyday I'm trying to figure out nmepata wapi huu ugonjwa but i don't get the answer. But all in all if nawez kupona please advise me how hata kama kuna madaktar wanaitaj mtu wamfanyie experiment here i am. Nnchi yyte.
Guys usiombe yakukute please stay safe always na usimcheke alienao cas you never know like i dont know nlikoupata. Nmekua wa kulia everyday I'm like God mbona umeniacha. But i hope tapona guys i hope one day takuwa ushuhuda kwa dunia in Jesus name Amen.
If una ushauri au maoni please unawez kuja inbox. Sorry for long story but mengne taeleza ndani ya thread.
Thank you for reading this.
Pole sana mtoa mada, aisee sikuhizi HIV sio ishu sana you can just proceed with your dreams you have about 20 years ahead of you so usiwaze sana. Pigania ndoto zako given ushaanza matibabu ila usije ukakatisha hio dosage. Kula vizuri pumzika vizuri na endelea na shughuli zako kama kawaida kuhusu kumwambia bi.mkubwa utamfadhaisha sana kwa sasa kausha kiume tu. Siku ikibidi ajue utamjulisha tu ila kwa sasa endelea na maisha yako.

Kuhusu swala la kwenda US or Canada ni sawa pia ila sijajua taratibu. Members wengine watakufahamisha vizuri
 
Kuna scholarship niliomba ya kwenda kusoma huko marekani, kwa maelezo yao ukiipata hiyo scholarship unapimwa HIV ubalozini kwao sasa sijui utaratibu utakao fata wakikuta unao..... Pole sana brother
 
Hello guys first of all ningependa kumshukuru Mungu kwa yote anayozidi kunitendea in my whole life since i was born. Na nimeamua kuja hapa cas najiona like I'm alone in this word and maybe you guys wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana mtakuwa na lolote la kunishauri. Natanguliza shukran kwa wote mtaopitia this thread and may God use all of you kunishauri cas nmekua na ndoto nyingi but now is like I'm nothing in this word.
I have a long story to tell but naona itaniumiza cas maisha nlopitia after my father died God knows. Ila now I'm trying to accept who i am now. (some says is true HIV Exists and others says is a hoax) but to me i see it like true maybe nathani wale ambao ni +ve like me wataelewa what am i talking about. Is very hard for me to believe but is like this:-(
Mimi ni kijana now I'm 22 yrs old na mpaka nnapoandika hivi my mother hajui if i have HIV And she still have so many hope on me cas hakubahatika kusoma but alinisomesha tena shule za ghalama tu kwa biashara zake ndgo ndogo na niafanikiw kumaliza form 6 though nkapata temporally job here in dar kwenye kampun moja hivi nkaona let me work first and after getting money nijiendeleze cas my mom ni kama hali imekuw ngum kidgo kwake and alifurahi sana na kuniombea Mungu maana nlianza kumsaidia nae hata viela kidogo vya matumizi akiwa na shida I'm the only person anaweza mpigia akiamini tamsaidia and i always do that hata leo nmetoka kuongea nae na yeye anafurahi sana ila hajajua mimi nina huzuni kuu na nilikuwa natoa machozi wakat naongea nae japo sikutaka ajue if nalia ye yuko mkoani so nkifikiria siku atayojua sijui itakuaje. Though I'm planning not to tell her ever.
Niliumwa nkiwa at work ghafla tu kichwa and nkawa sijielew but nkajua it will be Maralia so i took medicine (panadol) kutuliza mauvivu then badala ya kupata nafuu hali ilikuw mbay and it was just in few moment that happened so cas it was late nkaondoka nkaenda kwangu nnapoishi but all i was thinking was just maralia cas i don't use mosquito net. Then next day nkaenda hospital kubwa tu down town nkapima and the result comes that ni maralia so i went back home nkiw na dawa nlizopew hospital but hali ilizid kuw mbaya nkawa siwez hata kusimama jioni and naishi alone so nkamcontact my friend (she is just like my sister to me cas she is all i ahave in Dar) so nkaenda kwake that night but hali ikawa mbaya sana sana. Kila nikinywa dawa hali inakuw mbYa mpaka tukahisi maybe dawa walizonipa zina side effects mbaya sana. So next day jion hivi nikarudi hospital na nilipofika nkawaeleza and nikapata vipimo tena then this time doctor akasema mbona huna maralia ila una UTI na typhord. Nkapewa dozi nkarudi but that night nlipokunywa dawa nlihisi I'm gonna die cas nilizidiwa mala mbili ya mwanzo so next day early in the morning nkarud hospital and nlikua nakohoa sana sana mwili hauna nguvu so nkalazwa kabisa. Nkatundikiw dlip nkapew na dawa but next day nkapat nafuu and i was like what happened i asked nesi wa pale hospital hakunijbu ila aliuliza kam nna ndugu dar and i said no i have friends only na akaniuliza how i live nkamwambia. She was so sad but nkajua ni nesi so ananionea huruma nnavo umwa. Next day nkawa ok and nkapew billi yangu ambay ilikuw kubw kidgo kama mnavojua private hospitals. But sikujua naumwa nn and ile nataka kuondoka doctor akaniita ofisin kwake.... And he asked me so many questions. But i will never forget that in a simple way he told me now wewe ni muathilika wa vvu. Guys it was a bad moment ever in my life. And mimi npo naugulia namuona as he is clazy telling me such thing ye akaanza kunambia so inabidi uanze kutumia dawa. Siwez kuelezea how i was that time but situation hio sitaisahau nililia kama mtoto mdogo.but doctor didnt care na akanipeleka kwenye system yao ya watu wa HIV.
Niliona dunia yote imeniangukia nimetoka hapo kila nliemuona barabarani niliona sifanani nae. The question was where did i get this thing? Nkiangalia zile ARV nlizopew nlikuw nalia. Nilipew pia dozi ya typhoid so nmefka home nkamwambia sister is just typhoid. Hakuwez kuja kunchukua hospital cas ya nature y kazi yake na mda.
Guys until now sijamuelez mtu this issue but nkaemda 3 different hospitals kupma cas sikuamini but the answer was im HIV +. Nililia na kutaka kuacha hat kwenda kazn but nkajifkilia nkasema ok i will go. Nmeenda job kila nliemuona nilihisi anajua that nmeathirika. Nilikuwa na hasira za ajabu na nilizima cm wiki nzima na sikuwa nalaalla ucku vizuri. But nkaanza kutumia dawa zile ARV. Naomba nisiendelee zaidi but sitasahau those days ever in my life. And trust me we have poor doctors in tz (some not all) cas isingekuw Mungu nngejiua trust me cas no doctor aliekuw ananipa ushauri zaidi ya bla bla bla.
Ok back to the topic. Ndugu zangu nilikuwa nimeplani a lot of things but nimekata tamaa kabisa kabisa na najiona sio mtu tena. Naomba ushauri wenu katika yafuatayo.
(1) nilikuwa nimeplan kwenda USA au Canada kutafta maisha kwa njia ya kusoma kwanza. But some people kwenye mtandao wanasema MTU mwenye HIV hawakubari katika nnchi hizo. Guys is it true? Because if is true I'm going to die soon kwa presha cas ni ndoto nilizokuwa nazo since niko mdogo sana.
Naomba niishie hapa cas i cant write anymore inaniuma sana guys. Why world is not fare like this? Everyday I'm trying to figure out nmepata wapi huu ugonjwa but i don't get the answer. But all in all if nawez kupona please advise me how hata kama kuna madaktar wanaitaj mtu wamfanyie experiment here i am. Nnchi yyte.
Guys usiombe yakukute please stay safe always na usimcheke alienao cas you never know like i dont know nlikoupata. Nmekua wa kulia everyday I'm like God mbona umeniacha. But i hope tapona guys i hope one day takuwa ushuhuda kwa dunia in Jesus name Amen.
If una ushauri au maoni please unawez kuja inbox. Sorry for long story but mengne taeleza ndani ya thread.
Thank you for reading this.
pole nakuonea huruma ila tambua kuathirika sio mwisho wa Maisha kama una mwamini Mungu jaribu kwenda kwa Mtumishi mmoja wa Mungu anaitwa Frank Kilawah yupo Tanga atakuombea na ukimwi utaisha bilieve me or not me nilishuhudia sio maigizo kama kwel unamwamini Mungu nenda au anza kuangalia vipindi vyake youtube utapata courage ya kwenda
 
Pole,HIV kuwepo nayo siyo ndo kufa kwako maana kifo kipo cha njia nyingi nje na HIV.the way ukisoma mazingira ya sasa kwa fikra zangu ni kama dawa ya HIV haina miaka kumi itakua imepatikana,ugonjwa huo ni wa kimkakati fulani hivi na unaweza ukakutana na dawa siku za usoni wala usiogope.leo hii dawa haijapatikana lakini kuna watu wana miaka zaidi ya 20 wakiwa na HIV na wanaishi bila maradhi,usiogope jipe moyo sana

Mwisho kabisa siku nyingine ukiandika habari kama ni kiswahili kitumie maana ni lugha yetu pendwa,acha kuandika kiswahili ukichanganya na kingereza,haina maana sana

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Safari ya matumaini tushaisahau toka kipindi lowasa yuko ccm aliizindua pale chuga aseee
 
jitahidi kuandika vizuri ili great thinkers wakuelewe
 
Pole sana ndugu,hakika hakuna anaejua afya yake mpaka pale hali zinapobadilika au kufanya maamuzi ya kupima, tho sijajua ni ME au KE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom