i'm gonna miss you!

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
brodaz n sistoz nasikitika kuwa nitapotea kwa muda hapa home!
kwa kuwa nawalove nimeona si vyema kutoweka tu bila kuwapatia taarifa!
nitakuwa ktk mazingira ambayo ambayo sitapata wasaa wa kuwa nanyi kama nilivyozoea,however something big is goin to hapen in my life,if God wishes my life is going to turn into another phase(sio ndoa),niombeeni Jehova aniepushe na mabalaa niweze kufanikiwa!
- - basi natumai nikirudi nitakuta nyumba kama nilivyoiacha msije kuharibu vitu wala kufanya utundu wowote.
kaizer na xpin geoff fidel na rayB hakikisheni kila siku mbuzi mnawapeleka machungani bila kubishana!
firstlady1 kazi yako utakuwa unatwanga kila siku watu wasije kukosa unga wa ugali.
bht na preta mtakuwa mnaosha vyombo na kwenda kisimani kuchota maji!
queenkami kazi yake kupiga deki kila siku.
maria roza atafagia uwanja na kwenda kutafuta kuni kila siku!
womanofsubstance nitamuachia pesa za emergency mtu akiumwa amuone wos ila mkichezea maji machafu mkapata gonorhea na kaswende na kisonono mjue mtakavyojitibu wenyewe!
braza anyosile obhel atahakikisha hamuendi kulala bila kusali!
braza malila kazi yake kwenda kule shambani kulima.
dianadoublediff namuachia kazi ya kuwapikia hadi nitakaporudi!
familia ni kubwa sana hii siwezi kuwataja wote majina ngoja nitumie e.t.c.
- - haya nikirudi sitaki kusikia kesi dada lenu cheusi nawapenda nyote,!
I LOVE YOU ALL!
 
Mimi nitaathirika fully!...huh!
Ujauzito huu jamani!....:yuck:
Yaani hadi huyo mtoto akue ndo urudi Jeiefu, ni leo sasa?

Anyways...kawaida lakini...Salamu kwa broda!
We gonna miss your everything cisto!
 
Mbona mi babu hujaniambia nitunze wajukuu!? Aaa, haya bibie. Bila shaka niko kwenye "etc". Safari njema na urudi salama ukiwa mpya baada ya kupiga hiyo hatua. wasalaam!
 
mimi natamani hata kulia kwa jinsi hii loneliness itakavonipata, poa dada yetu C/Mangala, all the best
 
Mbona mi babu hujaniambia nitunze wajukuu!? Aaa, haya bibie. Bila shaka niko kwenye "etc". Safari njema na urudi salama ukiwa mpya baada ya kupiga hiyo hatua. wasalaam!

babu sijakwambia sbb najua wakiwa watundu utawapatia bakora za uhakika.pamoja!
 
Mimi nitaathirika fully!...huh!
Ujauzito huu jamani!....:yuck:
Yaani hadi huyo mtoto akue ndo urudi Jeiefu, ni leo sasa?

Anyways...kawaida lakini...Salamu kwa broda!
We gonna miss your everything cisto!

hahaa pakajimmy naona unajifanya sheikh yahaya .hiyo phase mbado mbado sana ,itafikia wkt wake lkn mihangaiko ikiisha,ataitwa piijei!
 
Ahh mamii waenda wapi tena jamni nitakumiss kupita maelezo, kila la kheri katika ubusy wako nitakuja kukusaidia kunywa uji wa mtama hahha hha!!!
 
hahaa pakajimmy naona unajifanya sheikh yahaya .hiyo phase mbado mbado sana ,itafikia wkt wake lkn mihangaiko ikiisha,ataitwa piijei!
Wooow...Ni bahati gani hii nimepata kuzaa na wewe!...naombea tu mtoto aje kuwa mwanaume..akiwa mwanamke nitagombana na wale wote uliowataja kwanza pale juu!(kayasome majina yao), huh!
 
jimmy---jimmy----------ya kweli hayo, lakini dada C/Mangala nimewahi kumuuliza kuhusu hiyo avatar yake nikaiishia kuambiwa hapana-------dada C/Mangala mwambie Jimmy anshindwe na utabiri wake wa sheikh yahya
 
anajifanya mamajusi wa mashariki ya mbali!
sio mbaya lkn anaongelea furure.
 
jimmy---jimmy----------ya kweli hayo, lakini dada C/Mangala nimewahi kumuuliza kuhusu hiyo avatar yake nikaiishia kuambiwa hapana-------dada C/Mangala mwambie Jimmy anshindwe na utabiri wake wa sheikh yahya
Aisee Kabuche, mbona unataka kuniharibia mwenzio hivihivi aisee?
Nimepewa nafasi adhimu ya kuzaa nae katoto kaitwe PIIJEI, we unakaba penati broda!!:yuck:
 
Wish you all the best. Mungu atakuwa na wewe na atabariki kila kitu huko utakakokuwa. But come back in one piece.
 
Wahenga walidai; Safari sio kifo na kimya kingi kina mshindo mkuu. Dada'ngu nategemea utarudi na nguvu, ari na kasi mpya kwenye jukwaa hili la waungwana. I will miss you a lot, My DEAR.
 
safari njema cheu....ukirudi utakuta nimeshapata ile maua....kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom