I'm going through hell!...should i keep going?

hapo geoff lazima pia ufikirie na factor ya "uwanafunzi".
ile kuwa mwanafunzi tu tayari inakupa "jeuri" ya kivyengine, unaona life is easy sijui niseme, unajiona bado uko katika HIGH TIMe yako, .....nk

mie kwa nafsi yangu niliolewa nikiwa "mwanafunzi". nilikuwa bado namtreat mume wangu kaa mshkaji tu na akiniudhi nambomoa huko :( (japo kuwa nilikuwa older kwa huyo wako na nilikuwa nimeajiriwa chuoni)

nilipomaliza shule tu, nilijikuta nakuwa more responsible, nampa respect yake anayostahiki, namstahamilia sana

so kubali ulezi kaka......usikasirike mno....wanawake ndo tulivyo
 
sawa mama!
ahsante kwa ushauri.ngoja niwe mpole
 
teh teh chrispin anaweza kuomba umrudishie dada yake

Lol! Mi na bwashee ni marafiki zaidi ya ushemeji. Siwezi kumnyang'anya rafiki yangu dada yangu. Kwa mantiki hii nakufahamisha na kuwaahidini wapwa na mabinamu zangu wote, sitakaa kimya nikishuhudia dada yangu na rafiki yangu wakisarambatika. Naliheshimu penzi lao na nalitakia mema.
 
pole sana, nadhani ushauri uliopewa utasaidia sana

kaza roho...wanawake ndivyo tulivyo sometimes...
 
Lol! Mi na bwashee ni marafiki zaidi ya ushemeji. Siwezi kumnyang'anya rafiki yangu dada yangu. Kwa mantiki hii nakufahamisha na kuwaahidini wapwa na mabinamu zangu wote, sitakaa kimya nikishuhudia dada yangu na rafiki yangu wakisarambatika. Naliheshimu penzi lao na nalitakia mema.

ooh yes!mimi na wewe krispin ni kama jei kei na eddo.HATUJAKUTANA JF!tehe tehe tehe!(naomba ni-smile kidogo,manake kidonda nilichonacho ni kikubwa mnoo)
 
Mpwa kama kuna kitu kinawapa jeuri kubwa hawa watu ni ndoa, mimi ndio maana ninaishi na mtu mwaka nne sasa hata discussion ya kuhusu ndoa siruhusu ianze maana visa kama hivyo hawezi kuleta kwenye u boifrend na ugelfrend.

UNFAIR ADVISE to our friend, cousin and my shemeji who needs FAIR ADVISE in this DIFFICULT TIME. Please APOLOGISE!
 
Ohh my dear Shem Geoff,Usikate tamaa atabadilika tu.Kumbuka viapo vya siku ile kanisani uliposema for better for worse till death do us apart!
endelea kutafuta mbinu za kumrejeza,Pengine anza kwanza kuchunguza zaidi kiini cha hayo matatizo yake nini.huwezi jua pengine ww ndio sababu.Ukijua kiinu cha tatizo utaweza kusolve kirahisi.
Usikimbie kukata tamaa wakati hujafanya vya kutosha kurekebisha.Ila na huo ushauri sijui kwa kaka,wifi,jirani jitahidi kuepuka na au kuwa makini zaidi.Nakwambia kweli Daktari mkuu wa ndoa yako ni wewe mwenyewe na huyo honey wako.Ndio ukubwa huo jikaze,na ukifanikiwa kusolve nakwambia you will be the Hero na utakuwa umepata experience na kuongeza bond ya upendo zaidi kati yako na mkeo.
be blessed na Mungu awasaidie.

You have said it.

Nitahitaji busara zako kwenye kazi ya kuinusuru ndoa ya shemeji yangu na dada yangu. Utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumia sana endapo ndoa hii itavunjika. Nami ntaumia sana nikikuona unaumia. So lets save our souls together.
 
Geoff,
Pole sana kwa hali/matatizo unayopitia kwa sasa. Kwa kweli ndoa haina operators manual ya kusema if you go by the book everything will be alright. Cha muhimu sana kwenu ni mawasiliano na pia kusameheana pale mnapokoseana. Nadhani mkeo kaamua kukuchunia kwa sababu ulijaribu kuacha njia yenu ya mawasiliano ya siku zote (baina yako na yeye) na kwenda kumshirikisha third party ambaye ni kaka wa mkeo(shemejio).

Nina uhakika we ulitegemea mambo yangeenda sawa kwa kuwa labda anmheshimu sana kaka yake na hivyo angemsikiliza - kwa kufanya hivyo ulimdhihirishia kwamba wewe hujiamini kwamba unao uwezo wa kumuambia jambo na akakusikiliza(hii ni weakness).

Kwa sasa nadhani ujitahidi kwanza uimarishe njia zenu za mawasiliano, muwe wawazi katika maongezi yenu.

Muhimu zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja zaidi yako wewe na mkeo ambaye anaweza kuyafanya maisha yenu yawe heaven, I tell you hata wazazi au wachungaji hawana huo uwezo cos hayo ni mambo ya ndani yenu na mnayajua vizuri nyie wenyewe. Try as much as possible to solve your issues by yourselves....

Good luck...

well said ma bro, hata mie mwenyewe huwa cpendi kabisa tukorofishane ndani then ntu aipeleke nje, kwanini tuc solve wenyewe, nadhani mamii anakuita mnafiki na mmbea coz hakutegemea kaam ungepeleka hii ishu kwa mtu wa3, mpeleke taratibu kwa wakati huu mana nahic haya ya sasa sio mwendelezo wa tofauti zenu bali ni kuchukia wewe kupeleka habari kwa kakake, akishatulia then kaa nae chini muweke tofauti zenu mezani G.
 
Pole sana kaka, unajua wakati mwingine wanawake huwa wanasema wanaume ni wakatili, lakini wao ndio wakatili mara 100 na wanaweza kuharibu kila kitu katika future ya mwanaume. Sasa tazama jamaa anavyoteseka kisa ndoa, mara nyingi huwa najiuliza huyo mke wangu atakuwa na tabia zipi ili haya ambayo tunaona kama ni experience kwa wale walioingia tayari kwenye ndoa. Pole sana mkuu. Sasa nayakubali maneno ya Fidel80 kuwa bado yupo yupo kwanza. Pole sana bro inabidi umuombe Mungu sana aweze mkubadilisha wife wako na pia washirikishe washenga wenu au bibi/babu au shangazi/mjomba ili kuokoa ndoa yako, maana inaonyesha unampenda sana mkeo lakini yeye hajui kuwa anapendwa. Kuna wenzake wanatafuta mtu wa kumbembeleza lakini hawapati lakini yeye anaichezea hiyo nafasi adhimu katika ulimwengu wa leo wa mapenzi

wewe kijana hapa tunazungumzia ndoa sio u boyfrnd , hayo ya ukatili yametokea wapi? kipi cha ajabu alichofanyiwa G? hivi ni vijimambo vidogo vidogo sana vya ndoa kijana, na G bado hajafikia kuwashirikia hao wote unaowasemelea, amshirikishe Mungu wake.....
 
ZD,chrispin!
thank you very much!NA KITUFE CHA THENKS NIMEGONGA
 
UNFAIR ADVISE to our friend, cousin and my shemeji who needs FAIR ADVISE in this DIFFICULT TIME. Please APOLOGISE!

Mpwa huwa naangalia maisha ya watu walio kwenye ndoa na walio kwenye mahusiano ya kawaida, nakuambia mpwa kosa kubwa kabisa kuwaoa hawa viumbe watakusumbua sana, nakuambia isingekuwa ni taratibu za mazoea mi nisinge oa ningeendelea kumdate my luv wangu hadi tunakufa, ila kwa kuwa ni mazoea nitakuwa boifrendi hadi hapo tutakapo zeekazeeka.
 
You have said it.

Nitahitaji busara zako kwenye kazi ya kuinusuru ndoa ya shemeji yangu na dada yangu. Utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumia sana endapo ndoa hii itavunjika. Nami ntaumia sana nikikuona unaumia. So lets save our souls together.

Usijali,ndio kazi yangu hiyo kuwa upande wako!Kukusaidia na kukusupport kwa kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom