I'm going through hell!...should i keep going? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I'm going through hell!...should i keep going?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Oct 28, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Geoff is happily enjoying his new life!...............

  Geoff is expecting............................................
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh pole mkuu kwa hiyo wewe unafikiriaje maana maamuzi yote yapo juu yako watakuja watu hapa kukwambia achana nae sijui fanya hivi lakini mwisho ya siku wewe ndo utakae amua baada ya kuangalia uzito wa penzi lako kwake na pima uzito wa penzi lake kwako.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mpwa kama kuna kitu kinawapa jeuri kubwa hawa watu ni ndoa, mimi ndio maana ninaishi na mtu mwaka nne sasa hata discussion ya kuhusu ndoa siruhusu ianze maana visa kama hivyo hawezi kuleta kwenye u boifrend na ugelfrend.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i am totally confused!thanks anyways
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i wish ningeyajua haya!i am going through the damn hell!what do i do?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  na wewe utamwambia aongeze mke wa pili teh teh teh
   
 7. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Geoff,
  Pole sana kwa hali/matatizo unayopitia kwa sasa. Kwa kweli ndoa haina operators manual ya kusema if you go by the book everything will be alright. Cha muhimu sana kwenu ni mawasiliano na pia kusameheana pale mnapokoseana. Nadhani mkeo kaamua kukuchunia kwa sababu ulijaribu kuacha njia yenu ya mawasiliano ya siku zote (baina yako na yeye) na kwenda kumshirikisha third party ambaye ni kaka wa mkeo(shemejio).

  Nina uhakika we ulitegemea mambo yangeenda sawa kwa kuwa labda anmheshimu sana kaka yake na hivyo angemsikiliza - kwa kufanya hivyo ulimdhihirishia kwamba wewe hujiamini kwamba unao uwezo wa kumuambia jambo na akakusikiliza(hii ni weakness).

  Kwa sasa nadhani ujitahidi kwanza uimarishe njia zenu za mawasiliano, muwe wawazi katika maongezi yenu.

  Muhimu zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja zaidi yako wewe na mkeo ambaye anaweza kuyafanya maisha yenu yawe heaven, I tell you hata wazazi au wachungaji hawana huo uwezo cos hayo ni mambo ya ndani yenu na mnayajua vizuri nyie wenyewe. Try as much as possible to solve your issues by yourselves....

  Good luck...
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i wish i would have been advised this way..........!Lol
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ohh my dear Shem Geoff,Usikate tamaa atabadilika tu.Kumbuka viapo vya siku ile kanisani uliposema for better for worse till death do us apart!
  endelea kutafuta mbinu za kumrejeza,Pengine anza kwanza kuchunguza zaidi kiini cha hayo matatizo yake nini.huwezi jua pengine ww ndio sababu.Ukijua kiinu cha tatizo utaweza kusolve kirahisi.
  Usikimbie kukata tamaa wakati hujafanya vya kutosha kurekebisha.Ila na huo ushauri sijui kwa kaka,wifi,jirani jitahidi kuepuka na au kuwa makini zaidi.Nakwambia kweli Daktari mkuu wa ndoa yako ni wewe mwenyewe na huyo honey wako.Ndio ukubwa huo jikaze,na ukifanikiwa kusolve nakwambia you will be the Hero na utakuwa umepata experience na kuongeza bond ya upendo zaidi kati yako na mkeo.
  be blessed na Mungu awasaidie.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Search in your heart. The answer probably is just a few steps from you. But I understand your position. Be tough you will manage to get through over them
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mpwa tupe mfano mmoja wa kosa analofanya kabla hatujajustify maamuzi yako!
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  shukrani!mawazo mazuri sana mkuu.i will go through your plan
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  geoff wanawake kwa kununa nafikiri hatuna mpinzani.....
  mwache kwanza atoe joto lake, endelea kubembeleza tu wewe ukijua kuwa kwa siku za mwanzo hatakusikia kwa kuwa anahasira, lakini hata wiki haitapita, atakuwa keshamaliza hasira zake na mtakaa na kujadili tatizo lenu.

  binaadamu kukubali kosa ni ngumu, na hasa kama umeenda "kumsemea" kwao, anaona umemdhalilisha, ndo maana amekukasirikia, but bembeleza tu kidogo kidogo hasira zitampungua
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  Well,
  She is doing some silly mistakes.ai miin utoto utoto fulani.last incidence ametapeliwa na vijana simu,pochi na hela nyingi tu.sijui kilichoendelea mpaka wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.namshukuru msamaria aliyemuokota akaikuta kadi yangu kwenye jeans yake na kunipigia simu.thank god hakubakwa!

  well,sitaki kulikumbuka hili
   
 15. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Pole sana kaka, unajua wakati mwingine wanawake huwa wanasema wanaume ni wakatili, lakini wao ndio wakatili mara 100 na wanaweza kuharibu kila kitu katika future ya mwanaume. Sasa tazama jamaa anavyoteseka kisa ndoa, mara nyingi huwa najiuliza huyo mke wangu atakuwa na tabia zipi ili haya ambayo tunaona kama ni experience kwa wale walioingia tayari kwenye ndoa. Pole sana mkuu. Sasa nayakubali maneno ya Fidel80 kuwa bado yupo yupo kwanza. Pole sana bro inabidi umuombe Mungu sana aweze mkubadilisha wife wako na pia washirikishe washenga wenu au bibi/babu au shangazi/mjomba ili kuokoa ndoa yako, maana inaonyesha unampenda sana mkeo lakini yeye hajui kuwa anapendwa. Kuna wenzake wanatafuta mtu wa kumbembeleza lakini hawapati lakini yeye anaichezea hiyo nafasi adhimu katika ulimwengu wa leo wa mapenzi
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Geoff hayo ni mapito tu ya maisha ni mkeo angalia namna ya kusolve tatizo kila mwanandoa anapitia hayo jaribu kupata suluhu
  Ongea na mkeo tena na tena na ikishindika zaidi mshirikishe mama au baba yake na imani watakusaidia kupata ufumbuzi wa tatizo lako usiogope kupata ushauri hata akwambie una kiherehere wewe unataka kuinusuru ndoa yako ..ukiwashirikisha wazazi wako anaweza kulalamika kwa nini umefanya hivyo
  usisahau kupiga got na kuomba


  When your in need.......
  HE WILL PROVIDE
  and this same god who takes care of me will supply all your needs from his glorious riches which have been given to us in chirst jesus
  Philippinias 4:19
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  basi geoff unalijua tatito kuwa ana utoto .........mstahamilie atakuwa tu.
  kumbuka kuwa wanaume ndio viongozi wa familia, na wanawake ni emotional beings na ukichanganya na utoto ndio zaidi.

  mwache mpaka hasira zipungue mkae kitako muongee nyinyi wawili, bila ya kumhusisha mtu mwengine.
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nawashukuru sana!ukweli hili limeniumiza sana kichwa nimeamua niliweke wazi tu.walau napata relief
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nashukuru,
  lakini kwanini anakuwa na moyo mgumu kiasi hicho?hataki kuongea na mimi?ananiambia mimi mbeya?hajui vile amenichoma mkuki moyoni mwangu?
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Pole sana brother kwa hayo matatizo yanayokupata, nadhani inabidi ukae na wazazi wa huyo binti na mjadili hayo matatizo kwa pamoja. Huenda akawaelewa na akabadilika ingawa itachukua muda. All in all brother kama unampenda inabidi umvumilie wakati unatafuta namna ya kumbadili tabia zake za kitoto.
   
Loading...