I'm going through hell!...should i keep going?

Geof, I real feel for you brother, just dont give up and have some more faith. Its life, a reality especially in marriages, they all have ups and downs, and you are not alone. wanawake wote hununa at some point in daily life, so hiyo isikunyime raha sana, muache anune tu lakini hakikisha unaongea pale unapotaka kuongea na kuendelea kumjali, siku akiwa kwenye good mood, muongeleshe kimahaba tu msolve tofauti zenu, just keep on trying and trying everytime. Hata mimi na hubby huwa inatokea tunanuniana then nikimuona huby yuko so down roho inauma sana hata kama nimemnunia siku mbili naamua kulegeza masharti. it happens.
 
Well,
She is doing some silly mistakes.ai miin utoto utoto fulani.last incidence ametapeliwa na vijana simu,pochi na hela nyingi tu.sijui kilichoendelea mpaka wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.namshukuru msamaria aliyemuokota akaikuta kadi yangu kwenye jeans yake na kunipigia simu.thank god hakubakwa!

well,sitaki kulikumbuka hili
So sorry Man ila kama wengine walivyosema first wasiliana na wazazi kwanza ili upate mawaidha yao najua wazazi wengi busara imejaa na wataliongelea hilo tu! Ila vumilia mkuu machungu ya ndoa ni mengi hope things will be Ok!
 
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

Bwashemeji am a bit confused! Anayeongelewa hapa ni yuleyule dada yangu or someone else?
 
geoff ndugu yangu hapo inabidi ukaze moyo tu, wanawake tukikasirika tunakuwa hatujui hata tunaongea nini saa nyingine.
tunaweza kuwa hata hatukimaanishi kile tunachosema, au wakati mwengine hata hukumbuki hasa kaa ulisema neno lile.

have patience, akishakupungua hasira utamueleza kuwa asikujibu namna hiyo inakuumiza.
pia kukaa pamoja na wazee wake ni ushauri mzuri, lakini pia fanya wakati akisha punguza hasira zake, sio sasa
 
Well,
She is doing some silly mistakes.ai miin utoto utoto fulani.last incidence ametapeliwa na vijana simu,pochi na hela nyingi tu.sijui kilichoendelea mpaka wakamuwekea cocain kwenye soda.kakutwa amezidiwa kwenye fukwe mojawapo hapa dar.namshukuru msamaria aliyemuokota akaikuta kadi yangu kwenye jeans yake na kunipigia simu.thank god hakubakwa!

well,sitaki kulikumbuka hili
To me, it seems bado ana utoto mwingi labda, you can tell us her age if you dont mind and if you two has a child or not, and from there we can try to come up with some solutions, professionally i mean.
 
Bwashemeji am a bit confused! Anayeongelewa hapa ni yuleyule dada yangu or someone else?
exactly!infact wewe nitahitaji tuongee vizuri zaidi kwa sababu unahusika moja kwa mooja.hili swala limeniuma kwa muda mrefu kidogo
 
To me, it seems bado ana utoto mwingi labda, you can tell us her age if you dont mind and if you two has a child or not, and from there we can try to come up with some solutions, professionally i mean.

we don't hv kids

her age is btn 22-25
 
exactly!infact wewe nitahitaji tuongee vizuri zaidi kwa sababu unahusika moja kwa mooja.hili swala limeniuma kwa muda mrefu kidogo
Binamu Chrispin this time you will need to grow up and ensure Geof has peace at the house especially becouse you are involved directly:(
 
hapo una kazi ya ulezi bro Geoff.....

manake nikijikumbuka enzi nilipokuwa na miaka 23 nilikuwa na utoto wa kiasi gani, lazima uipate pate hapo......

lakini raha yake mkishajuwana mlivyo vizuri, uta enjoy sana mapenzi yenu ...all the best
 
lakini mimi ninajiuliza,

kwanini wanawake wanakuwa na hasira kiasi hicho?
yani amesahau kwamba nimelazwa hospital na kuspend over 100usd kwa muda wa masaa kumi tu!HILO HALIMUINGII AKILINI
 
hapo una kazi ya ulezi bro Geoff.....

manake nikijikumbuka enzi nilipokuwa na miaka 23 nilikuwa na utoto wa kiasi gani, lazima uipate pate hapo......

lakini raha yake mkishajuwana mlivyo vizuri, uta enjoy sana mapenzi yenu ...all the best
ooh NO!how long will it take?i am finished.i can't go through this pain.NOT ANYMORE!
 
we don't hv kids

her age is btn 22-25
Ok then, nionavyo mimi si mtoto kivile maana 22-25, she is a matured woman who need to act responsibly.,kwa vile mmeshaoana mimi nadhani kama mnao mpango wa kuwa na watoto somedays, i mean itf there is no problem healthywise, its about time muwe na mtoto, as a woman akishakuwa na mtoto akili itabadilika, i mean atakua tu bila kupenda, atakuwa resposible na atajua thamani ya yeye kuhakikisha ndoa yake imesimama vema, na pia embarrassing situation kama ya kukutwa beach kaleweshwa haiwezi kumkuta. na hata household yenu itakuwa na furaha maana mtoto ana add furaha sana kwa wana ndoa i can assure you. Otherwise i think kuna umuhimu wa wewe na yeye kutafuta mzizi wa tatizo lenu. all the best.
 
I WILL GO THROUGH YOUR PLAN!infact kaka zake nao wamesema hivyo hivyo.
tatizo anaenda chuo na kurudi.naogopa kumuharibia program.....!hata hivyo ni bora nifanye
 
kisa hichi ndo ukalazwa hospitali? .....duh punguza hasira kaka

hebu na wewe usikumbuke visa vyake akiwa na hasira tu, kumbuka na ule wakati anapokufurahisha pia, anapokufanyia mambo ambayo unayapenda bila ya kuombwa, anavyokupembejea.........

*nafikiri miaka 23 (asiyekuwa na mtoto) bado hujajua hasa maana ya mume...........unaona sawa na "mshkaji" tu, ndio maana unakuwa unamjibu unavyotaka na hasa mkiwa hamjaoana zamani sana.

nafikiri respect yake kwako ni more as a friend kuliko as a mume kwa sasa, na ungeweza kum-tune akabadilisha mawazo hayo, nafikiri mngefika mnakokwenda kirahisi tu.
 
I WILL GO THROUGH YOUR PLAN!infact kaka zake nao wamesema hivyo hivyo.
tatizo anaenda chuo na kurudi.naogopa kumuharibia program.....!hata hivyo ni bora nifanye
Ahaa, now i understand the problem, the problem ni chuo dear. I know it hurts but i have to tell you the truth, kule kuna utoto mwingi sana, na pia most people are living a lie, yani ni full fantasy, kujazana ujinga vichwani sana, sasa yeye anasahau kwamba kaolewa na siyo wenzake wana just boyfriends. so hapa kuwa carefull, na pls give her a child, dont mind abt kumharibia programme zake, i have seen people having up to three children at chuo and they finish up as normal. I can assure you at the moment hiyo tu ndo solution, akishakuwa na mimba ataanza kufikiria reality na akiwa na mtoto ndo kabisaa. go ahead Geof give her a baby.
 
Ahaa, now i understand the problem, the problem ni chuoydear. I know it hurts but i have to tell you the truth, kule kuna utoto mwingi sana, na pia most people are living a lie, yani ni full fantasy, kujazana ujinga vichwani sana, sasa yeye anasahau kwamba kaolewa na siyo wenzake wana just boyfriends. so hapa kuwa carefull, na pls give her a child, dont mind abt kumharibia programme zake, i have seen people having up to three children at chuo and they finish up as normal. I can assure you at the moment hiyo tu ndo solution, akishakuwa na mimba ataanza kufikiria reality na akiwa na mtoto ndo kabisaa. go ahead Geof give her a baby.
i will have to do this,IMMEDIATELY!kwasababu kuna kitu huwa sitaki kianze kubrainstorm mind yangu.sitaki kufikiria kwamba ataanza kunicheat kama washkaji wanavyonitahadharisha..........
 
I WILL GO THROUGH YOUR PLAN!infact kaka zake nao wamesema hivyo hivyo.
tatizo anaenda chuo na kurudi.naogopa kumuharibia program.....!hata hivyo ni bora nifanye

take care.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom