Mbona unacheka mrembo?? Utaniletea wa kuoa au utajileta mwenyewe??Hahahahahahaha! Lol
i will bring a bottle of whisky for u to get married with
yaani nimefungua post kwa haraka kutaka kujua nani muoaji na nani muolewaji hehehe
Kazi kweli! Kama unataka kuoa mi naweza kuja na muolewaji,if at all I am one of the invited guests
Mbona unacheka mrembo?? Utaniletea wa kuoa au utajileta mwenyewe??
yaani nimefungua post kwa haraka kutaka kujua nani muoaji na nani muolewaji hehehe
mmmh...yakufungia mwaka hii
Hahahahahahaha! Lol
yaani nimefungua post kwa haraka kutaka kujua nani muoaji na nani muolewaji hehehe
Cheka kwa afya mwaya......Happy New Year!!!
I'm getting married tomorrow, it will be a small party and only few people from JF will be invited...., don't bring any gift...., just bring someone who will marry me!!!
Happy New Year 2012 JF members...