Kakiboya haijapata tokea. Kenya wanatuzooom tu. Halafu wanatikisa vichwa. Sijui tunakwama wapi tunatengeneza vitu vya kishamba hivi? Kama kako mpanda hukoPale tazara panasikitisha, kafly over kakishamba sana
Lakini haijulikani nini kilitokeaView attachment 1173736
Ubungo?
Njia panda ya chatoWAPI HIYOOO
kuna watu wanaweka mipango na inapangikaLakini haijulikani nini kilitokeaView attachment 1173736
Lakini haijulikani nini kilitokeaView attachment 1173736
ww kipepe utarudishwa porini au kwenye kiroba huko bahariniiPale tazara panasikitisha, kafly over kakishamba sana
huku ni shit hole kantreee akili ni anasaDuniani huko...watu wenye matumizi mazuri ya akili...
Ingekuwa hivyo mngesema ingepaswa kuwa vile halafu mngesema hamuhitaji vitu mnataka mpewe hela, basi tu ili mradi mtetee uvivu na ugoigoi.
Piga kazi Magu!
Piga kazi Magu!
Hivi unaona likes zangu huko?Wanaomchukia ni Wachaga low class kama wewe, lkn Wachaga upper class wengi wao ni pro-Magu!
Hakuna changa hapo ni mabadiliko tuu ilionekana wangefanya iwe kama hivo lingekula space kubwa yaani kuanzia shell hadi kule songas mwanzo zile nyumba ziondoshwe zoteDuuh...! Hii tamu saaaana mkuu. Kwa hiyo wametupiga changa la macho?
Lakini haijulikani nini kilitokeaView attachment 1173736
WAPI HIYOOO
Duniani huko...watu wenye matumizi mazuri ya akili...