Ilipangwa au ni muda wao ulifika tu?

Ilipangwa au ni muda wao ulifika tu?

labda kwa sababu jamaa aliwapiga pin la maana, na alikua anataka kuwafuta kwenye chama na serikali..kwa hyo chuki ni kubwa sana.

ila pia hiyo theory yako ina mashiko..
maana ukiangalia huo mfululuzo jumlishia na wale jamaa zake wawili wa madaraja, na kuponea tundu la sindano kwa huyu no 2 wa sasa...

inabd mtu ujiulize sana maswali
Mnaongea nn kwani
 
Mr clean alikuwa na nia ya kutuepusha na matatizo but mwendazake akawa mzembe kwenye kurinda uhai wake. Unachokiona Sasa ndiyo kilitakiwa kiwepo kwa Mr diplomasia. Unfortunately we have the same another diplomasia of the different gender but the same idiology after six years ahead. I feel confused how we will be out of gangster group. It seems will dominate our nation more decades to come. Until our opposition part become very strong and overturn this group.

Good bless our nation
What if the oposisheni get overturned before overturning?
 
I feel confused how we will be out of gangster group. It seems will dominate our nation more decades to come.
1651546190760.jpeg

Kisa ni 'Cake'
 
Kuna theories nyingi....moja ikiwa hii

Mr Clean alipigana kwenye kamati mwenda zake kuingia ndani kutokana na historia yake na wale jamaa wa mipango.

Mdau ananiuliza hapa...je kufuatana ilipangwa au ilitokea tu Mungu aliwahitaji?

Amenikumbusha wote wamepelekwa na gonjwa moja.
Kijasusi wanasema alie panga na alie tekeleza wote eliminate
 
What if the oposisheni get overturned before overturning?
We will continue to suffer until then. China na Urusi zimeweza kuendelea katika mfumo chama kikuu kimoja tu kwa sababu wanaviongozi wenye uchu wa maendeleo. Sisi chama kimoja kudominate game na tukiongozwa na watu wenye uchu wa madaraka badala ya uchu wa maendeleo ndiyo shida hapo inaanzia
 
Sasa kama ilipangwa jamaa na intelijensia yake yote ile walimtumbua vipi
 
We will continue to suffer until then. China na Urusi zimeweza kuendelea katika mfumo chama kikuu kimoja tu kwa sababu wanaviongozi wenye uchu wa maendeleo. Sisi chama kimoja kudominate game na tukiongozwa na watu wenye uchu wa madaraka badala ya uchu wa maendeleo ndiyo shida hapo inaanzia
Tanzania inaongozwa na walafi hawapo kwa ajili ya utaifa bali ni Cartel za upigaji kupitia mipango ya subcontracts na supplies!
 
Mr clean alikuwa na nia ya kutuepusha na matatizo but mwendazake akawa mzembe kwenye kurinda uhai wake. Unachokiona Sasa ndiyo kilitakiwa kiwepo kwa Mr diplomasia. Unfortunately we have the same another diplomasia of the different gender but the same idiology after six years ahead. I feel confused how we will be out of gangster group. It seems will dominate our nation more decades to come. Until our opposition part become very strong and overturn this group.

Good bless our nation
Ni ngumu sana, gangster's kids washaanza kuingizwa kwenye system
 
Sera za MZEE zilinifanya niinuke sana kiuchumi but huyu mpemba mathafaka sana..
 
Lakini...mbona nguvu inyotumika kuifuta legacy yake imekuwa kubwa saana..?
Nadhani ni sababu ya matendo yake maovu. Kifupi hakuna Mtanzania ambaye hakuumizwa na utawala ule. Labda kama ulikuwa hulipi kodi, hukuwa mfanyakazi Serikalini achilia mbali mkulima, kifupi yaani ulikuwa mnyonge au sukuma ganga ndiyo labda unaweza ukawa hukuona madhila yake.
 
Mr clean alikuwa na nia ya kutuepusha na matatizo but mwendazake akawa mzembe kwenye kurinda uhai wake. Unachokiona Sasa ndiyo kilitakiwa kiwepo kwa Mr diplomasia. Unfortunately we have the same another diplomasia of the different gender but the same idiology after six years ahead. I feel confused how we will be out of gangster group. It seems will dominate our nation more decades to come. Until our opposition part become very strong and overturn this group.

Good bless our nation
Wala usiwe na wasiwasi, Mungu yupo so mtu akiwazingua watanzania wao wanamlilia Mungu kama ilivyotokea kwa bwana yule
 
Back
Top Bottom