Ilipangwa au ni muda wao ulifika tu?

Ilipangwa au ni muda wao ulifika tu?

Sera za MZEE zilinifanya niinuke sana kiuchumi but huyu mpemba mathafaka sana..
Itakuwa wewe ni sukuma gang. Watu walifilisika mno, biashara zikafungwa, wengine wakauliwa na kutekwa tekwa kila siku, ufisadi ndiyo usiseme bila kusahau uongo mwingi huku akijificha kwenye kichaka cha wanyonge
 
umecoment au umeanzisha uzi! naona umeandika upumbafu
Wabongo Ni trash kabisa.

Kila vimada vinaanzishwa kea mfumo wa vimajungu fulani na udaku hivi.

Halafu wataanza kuteta watu kwa mafumbo.

Hii tabia iko sana kwa.wanawake na vijana wa vijiweni.

Sasa hivi imehamia online, wao wenyewe ndio wanaita code.

Kwa tabia hizi ndio maana vijana wanapelekewa Moto aisee
 
Back
Top Bottom