Ilikuwakuwaje ukajikuta unaabudu katika hilo kanisa au msikiti?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,462
Reaction score
23,246
Moja KWA moja, binafsi nilijikuta KWA sababu walionilea walikuwa wanasali humo (SDA). Yaani dini ya kurithishwa.

Lakini katika ukubwa na kujitambua nilikaa upya kutathmini na kuanza kukagua upya ninachokiamini nikilinganisha na imani nyingine na kuamini upya kabisa katika imani hii. MENGI yamenipa faida licha ya kuwepo na changamoto chache zinazozungumzika kiroho.

Kila jambo linachanzo wengine
Walifuata Mume au mke
Wengine walitishwa
Wengine of alijikuta kama Mimi
Wengine walitikea na Malaika au Mungu
Wengine walienda kutafuta koneksheni za kibiashara
Wengine walilazimishwa katika shule za kidini
Wengine ni dini za makabila yao

Etc
Wewe ilikuwaje
 
Nimekulia kanisani.. Nimekulia katika imani ya kikristo .. Nilipojitambua nikawa na mashaka mengi.. Nikaanza utafiti kwa kujaribu kila imani.. Mpaka za giza.. Nikapata jibu nililolitaka na kuamua kubaki na imani yangu iliyonikuza
 
👏👏👏
 
Moja KWA moja, binafsi nilijikuta KWA sababu walionilea walikuwa wanasali humo (SDA). Yaani dini ya kurithishwa.

Lakini katika ukubwa na kujitambua nilikaa upya kutathmini na kuanza kukagua upya ninachokiamini nikilinganisha na imani nyingine na kuamini upya kabisa katika imani hii. MENGI yamenipa faida licha ya kuwepo na changamoto chache zinazozungumzika kiroho.

Kila jambo linachanzo wengine
Walifuata Mume au mke
Wengine walitishwa
Wengine of alijikuta kama Mimi
Wengine walitikea na Malaika au Mungu
Wengine walienda kutafuta koneksheni za kibiashara
Wengine walilazimishwa katika shule za kidini
Wengine ni dini za makabila yao

Etc
Wewe ilikuwaje
Mimi nimekithishwa up again ila naamini Mungu yupo!
 
Nilizaliwa kwenye familia ya kikristo kwa upande wa baba na mama. Na mimi nikafuta Imani hiyo hiyo na kuabudu katika dini wanayoiamini wazazi. Huku nikiamini kuwa Mwenyenzi Mungu anamakusudi na Mimi Hadi kuzaliwa katika dini hiyo.
 
Nimejikuta roman catholic, baada yakujitambua nikakutana na rafiki aliekuwa ameokoka na kunishawishi nikaanza kusali huko huku nikitafakari kwa ufahamu wa utu uzima kuwa Kati ya huku na uislam kupi sahihi, hali iliyopelekea kusoma kuran yote na kubaini upande wangu Ni Bora zaidi. Na ndipo nikazama zaidi na kuona maono na miujiza ilionifanya kutoweza kutetereka Tena kutokana na ushawishi wa imani nyingine tofauti.
 
Si hamli kitimoto mkuu? Daah
 
Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom